TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

Alazwe pema
Sote tuko njia moja ila isije ikawa matatizo ya kushindwa kupumua tutashindwa kutoka majumbani wengine kwa hofu na serikali itakosa mapato
Kama unamudu kukaa nyumbani kaa tu mpaka hili janga lipite
 
Mkuu tuna inside infoz kuwa alikuwemo kwenye timu ya kuhakiki barua za kuomba msamaha kwa wenye kesi za rushwa na uhujumu uchumi!Endelea kukaza shingo!
Mmmeniudhi mefuta picha ya PM NA mwenye Tanzia
 
Why? Kwanini wanamuweka kwenye risk kubwa kiasi hicho!

Labda yeye ndio carrier!

Yani anaewekwa kwenye risk ni yeye PM tu?

Mwafrika, acha kujifikiria na kujithaminisha kinyani nyani na kujishusha.

Kiongozi ni binadamu kama wewe, maisha yako ni just as worthy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…