Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
Kumbe sikio la kufa Hakisikiidawa kumbe kwa kingereza ndo iko hiviThats his own problem. There's a swahili saying the ear of a monitor lizard cannot listen until it starts to bleed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe sikio la kufa Hakisikiidawa kumbe kwa kingereza ndo iko hiviThats his own problem. There's a swahili saying the ear of a monitor lizard cannot listen until it starts to bleed
Hadi kapitilizaRest in peace,school mate,,kumbe ulishatoboa
Wananegoshiet dau. A wapige tu $1M. Ile nyingine aliwapiga $3K aliwaanzia m1 wakashuka nae hadi 3k akakomaa hapo
Niko nyikaniWananegoshiet dau. A wapige tu $1M. Ile nyingine aliwapiga $3K aliwaanzia m1 wakashuka nae hadi 3k akakomaa hapo
Kama unamudu kukaa nyumbani kaa tu mpaka hili janga lipiteAlazwe pema
Sote tuko njia moja ila isije ikawa matatizo ya kushindwa kupumua tutashindwa kutoka majumbani wengine kwa hofu na serikali itakosa mapato
Mmmeniudhi mefuta picha ya PM NA mwenye TanziaMkuu tuna inside infoz kuwa alikuwemo kwenye timu ya kuhakiki barua za kuomba msamaha kwa wenye kesi za rushwa na uhujumu uchumi!Endelea kukaza shingo!
Tumeshahamia Rubondo chato kumechafukaNgoja nami nikimbilie chato. Pengine kule hakuna changamoto za upumuaji.
Tayar zimeongezeka, mbele kwa mbele.TAKWIMU BADO ZIMEGANDA.NI MARUFUKU KUZIONGEZA KWA GHARAMA YEYOTE! TUJIKINGE BINAFSI.
Usije shangaa wakikanusha kuwa si korona bali changamoto za upumuaji.
Bwana wa mavuno yuko ndani ya shambaHii ningepost mimi ingeleta shida sana
Jr[emoji769]
kweli watu wanakatika wanazengo....mi nataka kuhama nchi sasa...
Why? Kwanini wanamuweka kwenye risk kubwa kiasi hicho!
Huwa najiuliza nani hasa huwa hachapi kazi? Usipofanya kazi utakula nini hasa??Hali tete saana. Anyway tuchape kazi kama alivyosema mkuu wa nchi
Shida ni nini?
Isiwe Changamoto ya Upumuaji tu.