Mpenzi wangu anaficha meseji kwenye simu yake, nahisi anawasiliana na wanaume wengine

Ni kosa kabisa kukaa chini kujadili makosa ya mwanamke ukiwa na lengo la kumuacha, unless uwe unataka kumuelewesha. Nakubaliana na wewe, ni looser pekee na asiejua kutongoza ndiye atakae kaa na kuvumilia dharau za mwanamke.
 
Neno moja....PiGachini

Atakuja kukuletea matatizo wanawake waelewa wapo wengi
 
Afu kwanini wanaume ndo mnaongoza kwa kulialia na mapenz humu ndani?

Sababu wanawake wengi ni washenz kuliko wanaume punguzeni spid jaman mtawaua hawa ndugu zetu tutabaki sisi majeuri...
 
Piga chini
Upo kwenye mahusiano na mke wa mtu. Usije kusema hatukukwambia
 
Huko ndo kulia kwenyewe,ungekuwa hit and run kama mnavyojisifu wanaume usingegongewa mchana kweupe afu bado ukomae hapohapo...
Madam, hyo issue ya hit and run ipo sawa bt it's a time unahitaji kuchagua mwenza wa maisha. Huwez kuwa mtu wa hit and run Kila siku mean maisha yko yooote!!
 
Tafuta demu mwingine na wewe acha kuishi kinyonge, na kama unampa pesa pesa/kumhudumia huyo acha kabisa kumpa au mpe kidogo sana.

Ukimuendekeza utakufa siku si zako.
 
Ukimchunguza bata huwezi kumlaa…!kaz kwako ule hvyo hvyo au uchunguze kama kbovu usile
 
Kwann mnachunguza Simu za wanawake aiseee..hakuna kitu kibaya kama kuchunguza simu.
 
Usihisi.nakuhakikishia Anatoombwaa na jamaa mwingine bila ubishi.yaani akishafikia hapo moyoni anakua ameamua zamaaani kumpa tamu mwingine ila hajui kwako anaondokaje au anataka kuwa keep nyote wawili.Akili kumkichwa
 
Ndo maana mi sishauri mwanaume yoyote kumrudia/kumsamehe mpenzi wake akitoombwaa nje.Yaani to women,kutiwa ni hatua ya mwisho kabisa.anakua alikuacha siku nyingi sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…