Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

No offense.

Walimu kama nyie ndiyo mnasababisha watoto wanapata matokeo mabovu katika shule zetu za St. Kayumba na approach zenu za kibinafsi.

ACHA UVIVU
 
Sasa mkiacha kazi nani atafundisha vijana ! Tunawaheshimu na tunawapenda !
Msikate tamaa humo humo kwenye ugumu wa kazi tafuteni upenyo wa kutokea iwe kwa michongo yako ya nje au humo humo kwenye kazi yako!
Pambana, kote ni kugumu labda wanaopata nafasi za kupiga rushwa au kuhujumu ugumu wa huko unatokana na kwamba unachokula ni kile unachopangiwa tu.
 
Student centered kwa wanafunzi wa O level? nyie ndiyo mnaua ndoto za watoto masikini. Watoto hawajakomaa kiakili unafanya student centered? Approach za vyuoni mnaleta O level.

Nakumbuka O level tulikua na maticha wa Physics, Chemistry, Biology kama wewe wana selfish approach tulichomoka wachache tena kwa uwezo binafsi maticha hayafundiahi kwa moyo wote😮
 
No offense.

Walimu kama nyie ndiyo mnasababisha watoto wanapata matokeo mabovu katika shule zetu za St. Kayumba na approach zenu za kibinafsi.

ACHA UVIVU
Elimu ya SASA sio kama ile ya zamani!

Vitabu hamna wala internet no materials!!KWA sasa kuna topic GANI haina material!!?

Kuna swali GANI halina materials kama sio kutaka kuonyesha u deepness usio na maana!!?

Uwalimu wa leo ni competence based hakuna haja ya kujaza ubao mara tatu kama zamani!!

Wape class activity wajaze wa discuss uone kama wanashindwa vijana!inabaki kutoa muongozo KWA baadhi yasiyoeleweka vizuri!!

Nenda chuo chochote tz kama wanafundisha teacher centred!!

Mambo yamebadilika SASA wanafunzi ndio wenye materials sisi ni wawezeshaji wa mjadala!!!

Chukua hiyo!!
 
Umetoa sana maelezo ila umesahau kutoa MSIMAMO WAKO, msimamo wako ni upi MKUU ??

Samahani na vipi wakati unasomea hyo fani, wakati upo field ukuwa unayaona haya uyaonayo sas hiv ??

Yaani inaonekana kama ulishitukizwa kuwa Mwalmu, wakati huo ulisomea tena kwa miaka miwili au zaid.
 
Ndio muongozo wa competence based curriculum mkuu!!

Hawakuchomoka sababu ya kutojishughulisha tu!!

We unataka kuvunja ubaoni Ili umuonyeshe nani kama unajua!!?
 
Unaongea usilolijua wewe!! Umewai fundisha wanafunzi wenye uwezo mdogo wewe? Tena shule ya private wamekulipa na ada . Kirahisi rahisi tu uwawekee maswali ubaoni wa discuss sio .hehehe.anyway hujawai kuwa mwalimu so sikulaumu
 
Twende taratibu

Najua utatetea kazi yako. Tunashukuru maticha kwa kutulea mpaka hapa tulipofikia.

Ila shule za serikali walimu hawafundiahi kabisa watato wanachomoka kimungu mungu tu.

Kauli yao utasiki "sisi tumesoma kwa shida". Au "hakuna mtu atayekutafunia"

Imagine shule ya mjini mwalimu yupo ila anaingia darasani kwa manati na akiingia anafundisha kwa kujivuta.

itoshe kusema waalimu HAMUIPENDI KAZI YENU.
 
Unaongea usilolijua wewe!! Umewai fundisha wanafunzi wenye uwezo mdogo wewe? Tena shule ya private wamekulipa na ada . Kirahisi rahisi tu uwawekee maswali ubaoni wa discuss sio .hehehe.anyway hujawai kuwa mwalimu so sikulaumu
Mimi nimefundisha shule zote HADI hizo zenu!!!!

Mwanafunzi ana uwezo wa kutafuta material na yanapatikana !

Kwani hiyo shule HAINA vitabu!!? Library hakuna!!?

Mbona class activity natoa sana na zinajubiwa vizuri na discussion tunafanya na vijana tena wa form one kabisa mkuu!!?

Hao unafundisha ni walemavu wa KUSIKIA,kuona na kutembea!!?

Kuwa serious jamaa!!
 
Kazi ya ualimu haiependeki ngo! Labda uwe kichaa ndo utaipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…