Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

alitumia mwanya wa wauza ngada na bureau de change kupiga pesa kwa kuwatishia aliowaita 'watuhumiwa' over!
Yule wa Hai alitaka kutumia bashite style kuwapiga matajiri wa mabus eti wamehujumu miundombinu akastukiwa.
 
Maisha kweli ni mzunguko mkali, toka walinzi 10 wanakuzunguka asbh hadi ucku na mashine zao mabegani na viunoni ... Leo hata mgambo mmoja wa jiji no...aaaahhh
Daaaahhh.
Kulipa posho walinzi 10 kwaajili ya kumlinda mtu mwenye vyeti feki ni uharibifu wa rasilimali fedha za taifa
 
Hakufukuzwa kazi/hakutumbuliwa na Rais ila aliacha kazi yeye mwenyewe!
 
Unasema ana neema??!! Neema toka kwa nani? Neema hutoka kwa Mungu tu. Na Mungu hatoi neema kwa muuaji anayewanyima watu haki ya kuishi.

Laana humwandama muuaji, yeye na kizazi chake. Hata kama si leo, kuna siku asiyoijua ataishuhudia laana ya matendo yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya Mungu sii ya binadamu mipango yake ni mikuu mno na imeenda mbali.
Utajua je kama Mungu amemweka mbali na amri ya kimamlaka ili Tundu Lissu aliyeondolewa nchini akidhaniwa mfu, arudi tena nyumbani kwa amani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…