Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

Hupaswi kujibiwa kwa hoja, unafaa kuitwa LISENGE LA TAIFA

Mahruuni mkubwa.
 
Mkuu, kwani sheria ya aridhi inasema land inaweza kuwa leased kwa muda/miaka mingapi?

Sijui kwa nini baadhi ya watu wanapenda sana kupotosha wenzao kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, wanazungumzia mabaya tuu kuhusu Wachina - hawasemi kwamba Bandari itajengwa kwa tumia fedha za wachina na Wa-Oman, Serikali yetu haitachangia chochote zaidi ya aridhi - sasa kuna ubaya gani Wachina wanaposema baada ya Bandari kukamilika wataiendesha wao na kukusanya mapato mpaka return of investment (R.O.I) yao itakapo rudi,hapo sioni Wachina wanakosea nini - wewe mswahili ambaye huku-invest chochote kwenye mradi wa Bandari kwa nini utake kukusanya mapato, hivi hii inaingia akilini kweli? Wachina hawakusema kwamba wanakuja Bagamoyo kuijengea Serikali bandari, watakuja kuwekeza kwenye mradi wa ujenzi na uendeshaji wa Bandari ni investment yao kama walivyo jenga viwanda huko Mkulanga - Serikali haiwezi kuwaingilia Wachina kwamba lazima makusanyo ya mapato ya viwanda yaendeshwe na Serikali, sana sana kazi ya Serikali ni kutoza kodi basi - sasa kwa nini uwekezaji kwenye ujenzi na uendeshaji wa Bandari uwe tofauti na wa viwanda?

Labda hapo baadae Wachina waki amuwa kuiachia Serikali kuendesha Bandari hiyo itakuwa ni hiyari yao na sio kulazimishwa.
 
Yaani unatetea miaka 50 ya China kulitawala eneo letu Mbegani Bagamoyo bila kujua wanalalaje, wanaamkaje na wanafanya nini hapo, siyo??
Nani kakwambia huo mkataba unasema hivyo? Majeshi yetu lazima yatakuwepo kulinda mpaka yetu, police watalinda usalama kama kawaida. Kuna toxo ambazo haziepukiki... Mdifikiti kuwa JK mjinga mpaka akaingia Choo cha kike!!
 
Hupaswi kujibiwa kwa hoja, unafaa kuitwa LISENGE LA TAIFA

Mahruuni mkubwa.
Acha matusi.

Hamna hoja yoyote. Munawaza kizamani. Mnatuchelewesha tu. Tutawashusha njiani tuendelee na safari yetu ya kuifanya Tanzania iwe na uchumi endelevu wa kisasa.

Bandari ya Bagamoyo ni muhimu kwa uchumi wetu. Mradi huo ni lazima sasa utekelezwe.
 
Mumeambiwa maungo mkayaamini?

Hakuna kitu kama hicho kwenye huo mkataba.

Mradi wa bandari ya Bagamoyo ni mzuri mno! Hayo mengine zilikuwa propaganda tu za kuuchafua kwa interest binafsi.
 
Wacha porojo wewe,

Eleza ni namna gani Tanzania itafaidika kiuchumi kutokana na mradi huo?
 
Mumeambiwa maungo mkayaamini?

Hakuna kitu kama hicho kwenye huo mkataba.

Mradi wa bandari ya Bagamoyo ni mzuri mno! Hayo mengine zilikuwa propaganda tu za kuuchafua kwa interest binafsi.
Sema tu mkuu kama uliahidiwa Ka pasent Fulani

Huo mradi ni watu wasiojua umhimu wa nchi Yao na athari zake
 
Wewe ndio mwenye fikra za kimasikini. Halafu hujijui! Pole.
 
Nani kakwambia huo mkataba unasema hivyo? Majeshi yetu lazima yatakuwepo kulinda mpaka yetu, police watalinda usalama kama kawaida. Kuna toxo ambazo haziepukiki... Mdifikiti kuwa JK mjinga mpaka akaingia Choo cha kike!!
Wewe wasema!!

Nisemacho ni hiki, Tanzania siyo Ile ya watu kwenda kusaini mikataba Dubai na ulaya, tulishahama huko mkuu
 
Jomba, ulikuwa unaamini hayo mauongo? Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…