RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Prove her wrong.Hakuna kifo? Askari mjinga huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prove her wrong.Hakuna kifo? Askari mjinga huyo.
Dah, hii Iko kiufundi saaana, kwahio mwamba hatunae Tena ila Traffic katufunga kamba?
Yuko sahihi. Anayetangaza kifo ni Dr Sio yeye! Tusimlaumu, sisi tucheze na hizi grammatical errors tu kwenye report kubwa kama hiiHakuna kifo? Askari mjinga huyo.
Ni mimi....Sawa
Mwambie ana mwandiko mzuri
Dah atawaamini hao wazee fa fa fa faAfande anasema hakuna Vifo
Mbona hiyo ndiyo lugha ya mapolisi vinginevyo utawapeleka shule wote pamoja na mabata wayafugayo.Naiweka hapa muone wenyewe...
MREJESHO WA TAARIFA YA AJALI ILIYOTOKEA KISUTU MNAMO MAJIRA YA SAA 05:45
Mnamo majira ya saa 06:58 niliweza kufika Eneo la tukio nilikuta ajali imetokea gari ya mwendokasi yenye usajili wa
Plate No: T 122 DGW
JINA: SHABANI NGAUGIA
Ilipata ajali Eneo la Kisutu mbele kidogo ya mataa ilikuwa inatoka Kivukoni kwenda Kimara.
Chanzo cha ajali dereva wa mwendokasi alikuwa anatoka Kivukoni kwenda Kimara alifika mataa wakati anavuka kuna gari ndogo aina ya RVA4 yenye namba ya usajili T 978 DHZ ilikuwa ikitokea posta mpya ikielekea Kivukoni ilikuwa inapita pasipo kuangalia dereva wa mwendokasi alimuona akawa anamkwepa ndipo alipoenda kugonga flame za maduka na kuleta itirafu nje ya maduka. Ndani ya gari ya mwendokasi kulikuwa na abiria wanafunzi na wananchi wamepata majaraha madogo madogo walipelekwa Muhimbili kwa check up ila dereva wa mwendokasi ameumia sana sehem ya mguuni yupo Muhimbili akiendelea na matibabu.
Wakati ajali imetokea gari aina ya RVA4 iliyosababisha ajali ilikuwa inakimbia kuelekea Kisutu kufika mbele ikapata ajali ikagonga ukuta wa shelli ya puma Kisutu na kuaribika. Waliokuwa ndani ya gari hiyo ndogo waliumia na kupelekwa hospital dereva wa gari ndogo alivyofika hospital alikimbia akabaki Majeruhi mmoja ambae ni mwanamke.
Katika ajali hii iliyotokea akuna vifo vilivyotokea isipokuwa kuna Majeruhi na wote wako Muhimbili kwa matibabu ila dereva wa mwendokasi na watu wanne wanahali sio nzuri sana.
Reported by
Overall Incharge
Shani Mussa.
&
Zonal Incharge
Amina Juma.
Hebu check hii video kama huyu jamaa kasalimika basi atakuwa ICUProve her wrong.
Kuna mwamba ni ameunga apo alikaa kwenye benchi🤣🤣
Kha! Mie huko siko! Hahahahaha mabata Tena??Mbona hiyo ndiyo lugha ya mapolisi binginevyo utawapeleka shule wote pamoja na mabata wayafugayo.
Lazima kajeruhiwa hawezi kutoka bila majeraha.Hebu check hii video kama huyu jamaa kasalimika basi atakuwa ICU
na huyu wa Rav 4 kama alikimbia na kwenda kugonga Puma sijui alifikajeView attachment 2526307
1000km/hr hahahaaahaa kesho hawezi kukimbia Tena hio speedKuna mwamba ni ameunga apo alikaa kwenye benchi🤣🤣
Ajali zinakuaga na mambo ya ajabu sana ndugu yangu, huenda ni kweli ni mzimaHebu check hii video kama huyu jamaa kasalimika basi atakuwa ICU
na huyu wa Rav 4 kama alikimbia na kwenda kugonga Puma sijui alifikajeView attachment 2526307
Msituchekeshe jamani1000km/hr hahahaaahaa kesho hawezi kukimbia Tena hio speed
There is no way huyo jamaa amechomoka hapo. The bus hit him head-on.Huyu Kama kapona hii ndio explanation. Bus limegonga ukuta at an angle na limekita baada ya yeye kupita hivyo alipata gap ya kukimbia.View attachment 2526294
Kuna jamaa yangu alifumaniwa, ule ukuta aliuruka Kwa speed ya ajabu mita tatu juuMsituchekeshe jamani
Si tuko majonzini
😁😁 huyo atakesha anasali kwa imani zakeKuna mwamba ni ameunga apo alikaa kwenye benchi🤣🤣
Head on tungemuona hapo mbele ya bus.There is no way huyo jamaa amechomoka hapo. The bus hit him head-on.