Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

Acha ujuaji wako wa kijinga jinga..
Kila Kitu unakijua.
Ulitaka aandike vipi
Ulivomfundisha ww
Kila taasisi wana uandikaji wao wa reports and returns of the particular situations.
Kila kitu nakijua? Na kipi Tena ndugu? Yes. Huenda najua ndio, kwani dhambi? Kama hujapata lunch acha makasiriko, mimi sio wa level Yako
 
Hebu check hii video kama huyu jamaa kasalimika basi atakuwa ICU
na huyu wa Rav 4 kama alikimbia na kwenda kugonga Puma sijui alifikajeView attachment 2526307
Inawezekana baada ya kugongwa hapo lilikuwa kwenye free movement mpaka lilipojikita hapo puma..(sijui umbali wake lakini)....kwa ugongwaji huo breaking system sidhan kama zitafanya kazi na limegongwa upande wa dereva. Mapolisi wetu wanatabia ya kubambikiza kesi bila kujua ulimwengu wa sasa ni wa cctv camera.
 
Back
Top Bottom