Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

Kila kitu nakijua? Na kipi Tena ndugu? Yes. Huenda najua ndio, kwani dhambi? Kama hujapata lunch acha makasiriko, mimi sio wa level Yako
Uko Sahihi kabisa... Hatulingani mi ni maskini wewe ni tajiri au mi mjinga sana ww Msomi ila tambua huwezi jua kila kitu... Vitu ni vingi sana Duniani na Maarifa pia, Endelea kujifunza japo uko level za juu sana.
Mjinga Mmoja ww.
 
Haya. Ila usichoelewa ni kuwa bus baada ya collision na ukuta limebadili uelekeo kwa degrees kadhaa.

Muwe mnaangalia basi na kuelewa sio kibishana tu.
Mtu akitaka aone vizuri aweke slow motion,
Huyo Baba amefinyangwa humo humo kwenye mafrem, kama imechomolewa piki piki ndani itakua huyo baba aliyekutana na mwendokasi uso kwa macho
 
Nafikiri huyo mtembea kwa miguu atakuwa amesagwa sagwa na akasagika kweli kweli, kiasi kwamba hakuna kilichobakia kama ikiwa kweli kwamba hadi sasa hakuna hata mtu mmoja aliyeripotiwa kupoteza maisha! Sidhani kama nitaeleweka, maana mwenyewe sijaielewa!!
 
5253353-4b384c92128b19bb2e6b75559abe7982_1.gif
 
Back
Top Bottom