Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
CCTV Camera imemuumbua afande asubuhi na mapemaKama sio CCTV camera afande angeaminika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCTV Camera imemuumbua afande asubuhi na mapemaKama sio CCTV camera afande angeaminika
AmeishaaaHuyo mpita njia mwenye shati la draft amepona?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Polisi kima jografia nyepesi tu imemshinda. Jamaa katokea upande wa mnazi mmoja.Tuliambiwa polisi wengi ni form four failures,
Hivi ule upande ilikotokea RAV 4 ni posta mpya kweli!!?
Kichwa kimebanjuka upandeHuyu kasagika
Labda kama anachekea motuary sahiziHawezi cheka aisee
Labda aje kucheka miaka mi5 ijayo
Ila kwa mwaka huu, atashinda anatetema
Kuna kitu kinafichwa sijui kwa faida ganiNaiweka hapa muone wenyewe...
MREJESHO WA TAARIFA YA AJALI ILIYOTOKEA KISUTU MNAMO MAJIRA YA SAA 05:45
Mnamo majira ya saa 06:58 niliweza kufika Eneo la tukio nilikuta ajali imetokea gari ya mwendokasi yenye usajili wa
Plate No: T 122 DGW
JINA: SHABANI NGAUGIA
Ilipata ajali Eneo la Kisutu mbele kidogo ya mataa ilikuwa inatoka Kivukoni kwenda Kimara.
Chanzo cha ajali dereva wa mwendokasi alikuwa anatoka Kivukoni kwenda Kimara alifika mataa wakati anavuka kuna gari ndogo aina ya RVA4 yenye namba ya usajili T 978 DHZ ilikuwa ikitokea posta mpya ikielekea Kivukoni ilikuwa inapita pasipo kuangalia dereva wa mwendokasi alimuona akawa anamkwepa ndipo alipoenda kugonga flame za maduka na kuleta itirafu nje ya maduka.
Ndani ya gari ya mwendokasi kulikuwa na abiria wanafunzi na wananchi wamepata majaraha madogo madogo walipelekwa Muhimbili kwa check up ila dereva wa mwendokasi ameumia sana sehem ya mguuni yupo Muhimbili akiendelea na matibabu.
Wakati ajali imetokea gari aina ya RVA4 iliyosababisha ajali ilikuwa inakimbia kuelekea Kisutu kufika mbele ikapata ajali ikagonga ukuta wa shelli ya puma Kisutu na kuaribika. Waliokuwa ndani ya gari hiyo ndogo waliumia na kupelekwa hospital dereva wa gari ndogo alivyofika hospital alikimbia akabaki Majeruhi mmoja ambae ni mwanamke.
Katika ajali hii iliyotokea akuna vifo vilivyotokea isipokuwa kuna Majeruhi na wote wako Muhimbili kwa matibabu ila dereva wa mwendokasi na watu wanne wanahali sio nzuri sana.
Reported by
Overall Incharge
Shani Mussa.
&
Zonal Incharge
Amina Juma.
Inauma sana kifo kibaya sana na Cha Ghafla kihivo.Hii footage nimeiangalia kwa kurudia rudia aseee mtembea kwa miguu sidhani kama amepona, imeniumiza sana sijui kwanini.
We jamaa unataka nicheke kwenye kilio?Labda kama anachekea motuary sahizi
Nasubiri wakujibu kiongozi...Kwahyo huyo mpita njia anaeonekana kwenye video inayosambaa amepona.
Nilitaka kucheka ila nimeza tuMbona kajitahidi sana. Hawa ndugu zetu si inasemekana ni Fa Fa Fa...kwa hiyo nampa hongera kajitahidi.
Jamaa kakiona kifo ila kashindwa kikimbiaRIP amekuwa na mwisho mbaya sana jamaa dah
Labda yupoyupo tu maisha yaeende🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Polisi kima jografia nyepesi tu imemshinda. Jamaa katokea upande wa mnazi mmoja.
Yule amechoka hata tembea yake tu halafu gari zimekuja kasi sana pale hata angegeuka akimbie asingetoboaJamaa kakiona kifo ila kashindwa kikimbia
SubhanaAllah, hakika kifo kipo karibu sana, nimeshtuka mno, huyu kapona kweli?Na huyu wa rav 4 alikimbiajeView attachment 2526255
HajaponaSubhanaAllah, hakika kifo kipo karibu sana, nimeshtuka mno, huyu kapona kweli?
Yule lazima amekufa kwa kishindo kile ...kama Rav 4 tu imepigwa mpaka imechanganyikiwa ikaenda simamia petrol station na dereva kutoroka akiwa amevunjika mguuHii footage nimeiangalia kwa kurudia rudia aseee mtembea kwa miguu sidhani kama amepona, imeniumiza sana sijui kwanini.
Ukuta umemzuia mbele akashindwa pa kupenya na kugeuka arudi nyuma bado pia angechelewa muda usingeruhusu.Yule amechoka hata tembea yake tu alafu gari zimekuja kasi sana pale hata angegeuka akimbie asingetoboa
Kwa nini mkuu?Nilitaka kucheka ila nimeza tu