Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Wewe unampondaje in charge? Unajua sifa za kua in charge kwenye vikosi vyetu? Hebu acha makamanda weweHahahahahaha Mpwa sitaki "zambi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unampondaje in charge? Unajua sifa za kua in charge kwenye vikosi vyetu? Hebu acha makamanda weweHahahahahaha Mpwa sitaki "zambi"
Hahahaaaa sitaki manenoz Mwanasheria wangu Yuko VacationWewe unampondaje in charge? Unajua sifa za kua in charge kwenye vikosi vyetu? Hebu acha makamanda wewe
We Acha tu sijui amekwepa nini kukitangaza kifo cha jamaa maskiniNdio Afande anasema hajafa??
Wakiwa na akili hawatatiii amri kikamilifuMapolisi ni DIVISHENI ZIRO.
Hata kuandika hawajui.
Hili ndio JESHI tegemeo la samia.
Au labda aliamkaHapa hata Mimi ndio nashangaa....kama jamaa alipona basi ni jambo la kumshukuru Mungu.
mtembea kwa miguu uyo apo kalala zake mbele daaa huzuni kwa kweli View attachment 2526336
Hata Usain Bolt hawezi kumkamataKuna mwamba ni ameunga apo alikaa kwenye benchi🤣🤣
Situmekubaliana tunaangalia grammar tu jamani mengine tumuache kamandaNdio Afande anasema hajafa??
Polisi katoa taarifa imeeleweka sana. Sasa sinii wewe ulitaka aandike tamthilia?Naiweka hapa muone wenyewe...
MREJESHO WA TAARIFA YA AJALI ILIYOTOKEA KISUTU MNAMO MAJIRA YA SAA 05:45
Mnamo majira ya saa 06:58 niliweza kufika Eneo la tukio nilikuta ajali imetokea gari ya mwendokasi yenye usajili wa
Plate No: T 122 DGW
JINA: SHABANI NGAUGIA
Ilipata ajali Eneo la Kisutu mbele kidogo ya mataa ilikuwa inatoka Kivukoni kwenda Kimara.
Chanzo cha ajali dereva wa mwendokasi alikuwa anatoka Kivukoni kwenda Kimara alifika mataa wakati anavuka kuna gari ndogo aina ya RVA4 yenye namba ya usajili T 978 DHZ ilikuwa ikitokea posta mpya ikielekea Kivukoni ilikuwa inapita pasipo kuangalia dereva wa mwendokasi alimuona akawa anamkwepa ndipo alipoenda kugonga flame za maduka na kuleta itirafu nje ya maduka.
Ndani ya gari ya mwendokasi kulikuwa na abiria wanafunzi na wananchi wamepata majaraha madogo madogo walipelekwa Muhimbili kwa check up ila dereva wa mwendokasi ameumia sana sehem ya mguuni yupo Muhimbili akiendelea na matibabu.
Wakati ajali imetokea gari aina ya RVA4 iliyosababisha ajali ilikuwa inakimbia kuelekea Kisutu kufika mbele ikapata ajali ikagonga ukuta wa shelli ya puma Kisutu na kuaribika. Waliokuwa ndani ya gari hiyo ndogo waliumia na kupelekwa hospital dereva wa gari ndogo alivyofika hospital alikimbia akabaki Majeruhi mmoja ambae ni mwanamke.
Katika ajali hii iliyotokea akuna vifo vilivyotokea isipokuwa kuna Majeruhi na wote wako Muhimbili kwa matibabu ila dereva wa mwendokasi na watu wanne wanahali sio nzuri sana.
Reported by
Overall Incharge
Shani Mussa.
&
Zonal Incharge
Amina Juma.
Aisee . Hatarii
Haiwezekanii.. em mtafuteni aisee..Mwamba itakuwa aliingia kwenye duka hapo!
Kuna picha hapo juu kalala mbele ya bus. Sijui ndio yeye?Haiwezekanii.. em mtafuteni aisee..
Binti karipoti vizuri na imeelewaka vyema. Au wewe ulitaka aandike tamthilia?Naiweka hapa muone wenyewe...
MREJESHO WA TAARIFA YA AJALI ILIYOTOKEA KISUTU MNAMO MAJIRA YA SAA 05:45
Mnamo majira ya saa 06:58 niliweza kufika Eneo la tukio nilikuta ajali imetokea gari ya mwendokasi yenye usajili wa
Plate No: T 122 DGW
JINA: SHABANI NGAUGIA
Ilipata ajali Eneo la Kisutu mbele kidogo ya mataa ilikuwa inatoka Kivukoni kwenda Kimara.
Chanzo cha ajali dereva wa mwendokasi alikuwa anatoka Kivukoni kwenda Kimara alifika mataa wakati anavuka kuna gari ndogo aina ya RVA4 yenye namba ya usajili T 978 DHZ ilikuwa ikitokea posta mpya ikielekea Kivukoni ilikuwa inapita pasipo kuangalia dereva wa mwendokasi alimuona akawa anamkwepa ndipo alipoenda kugonga flame za maduka na kuleta itirafu nje ya maduka.
Ndani ya gari ya mwendokasi kulikuwa na abiria wanafunzi na wananchi wamepata majaraha madogo madogo walipelekwa Muhimbili kwa check up ila dereva wa mwendokasi ameumia sana sehem ya mguuni yupo Muhimbili akiendelea na matibabu.
Wakati ajali imetokea gari aina ya RVA4 iliyosababisha ajali ilikuwa inakimbia kuelekea Kisutu kufika mbele ikapata ajali ikagonga ukuta wa shelli ya puma Kisutu na kuaribika. Waliokuwa ndani ya gari hiyo ndogo waliumia na kupelekwa hospital dereva wa gari ndogo alivyofika hospital alikimbia akabaki Majeruhi mmoja ambae ni mwanamke.
Katika ajali hii iliyotokea akuna vifo vilivyotokea isipokuwa kuna Majeruhi na wote wako Muhimbili kwa matibabu ila dereva wa mwendokasi na watu wanne wanahali sio nzuri sana.
Reported by
Overall Incharge
Shani Mussa.
&
Zonal Incharge
Amina Juma.
Yaani hapa nimerudia mara tatu nimetoka bila. RAV 4 ilikuwa inatokea posta ya zamani kwenda Kivukoni na mwendokasi kutoka Kivukoni kwenda Kimara halafu Rav 4 ikaelekea Kusutu, daah. Haya ni mataa yepi kwani?Tuliambiwa polisi wengi ni form four failures,
Hivi ule upande ilikotokea RAV 4 ni posta mpya kweli!!?
Hapo alipolala kuna video inaonesha bado anapumua, kwahyo kuna uwezekano kabisa hajafa masikini Mungu ampiganie..Kuna picha hapo juu kalala mbele ya bus. Sijui ndio yeye?
Haya magari Engine zake zipo nyuma MkuuLabda,kama engine ya bus iko nyuma, ila hili tukio kuna funzo kuhusu maisha,ukifanya upuuzi kuna karma,jamaa wa Rav 4 alitaka ku defy karma
Ndio maana taarifa za awali zinasema hakuna aliekufa.Hapo alipolala kuna video inaonesha bado anapumua, kwahyo kuna uwezekano kabisa hajafa masikini Mungu ampiganie..
apdate[emoji174][emoji174][emoji174]
Bila shaka..Kuna picha hapo juu kalala mbele ya bus. Sijui ndio yeye?
Aisee . Hii nchi ni ngumu . Kutoa taarifa kunahitaji shing ngapi!!??🤔