Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Yatajwe majimbo wanayoenda kuhombeaWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
Netanyau, kama wameahidiwa ubunge na wakaupata, what else do they need?Wanaenda kupoteza muda wala hawana mvuto wowote
Askali ana VVV na anakaribia kustaafu unadhani atafanya nini?Reforms ndiyo mwanzo wa hiyo Katiba mpya - mwisho wa matatizo na polisi wa aina hizi:
View attachment 3339044
View attachment 3339045
Wasioona umuhimu wa no Reforms no elections hawawezi kuwa wenzetu ng'ooo!
Askali ana VVV na anakaribia kustaafu unadhani atafanya nini?
Wao wanadhani kufanya kazi kwa bidii kutabadilisha maisha yao.
Elimu hana, hiyo ndiyo ajira inayompa kula unategemea afanye nini?
Yeye anafanya snachoambiwa na wakubwa zake kwa posho ya siku hiyo na mshahara wa mwezi.
Kwanza kumlinda Lisu yeye anajiina kapendelewa, akirudi kambini atasimulia kana kwamba alikuwa anafanya kazi ya kumlinda Rais wa nchi.
Hahaha ni "kweri" kabisaNdiyo maana nasema Tanzania mpya itakuwa mpya kweri kweri!
Cdm wanataka mabadiliko, hawana akili ya ushiriki wa chaguzi viini macho. Kukiwa na mabadiliko cdm watashiriki na kula vichwa vya kutosha.Najiuliza kama CDM wataifanyia kampeni CCM dhidi ya G-55.
Amandla...
Ubunge wa kuchaguliwa na nani....!!? labda wa kupewa na CCM..Wenzio wanataka wawe wabunge eti, hovyo kabisa
😅😅😅😅😂😂View attachment 3338958
Ni bora angesema tukifika 2025 hakuna Katiba mpya hakuna tume huru basi natimkia CHAUMMA😆😆😂😂
Asante Mungu kwa kutuondolea najisi.
HUYUU MZEEE HAJUII HILI KABILA M MCHAGAKumbe una mindset ya hovyo namna hii? Uchagga unakuuma sana eeh?
Hii ndio MOHAMED KHATIBU ALICHO KIELEZEA KWENYE DIWANI YA WASAKATONGEWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
CCM inaweza kuwapa hata wabunge 2Ubunge wa kuchaguliwa na nani....!!? labda wa kupewa na CCM..
Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe
wamechoka kula ugali , sasa wamefuata ubwabwaHii ndio MOHAMED KHATIBU ALICHO KIELEZEA KWENYE DIWANI YA WASAKATONGE
CCM mbele ya madaraka huwa haina utani asee, tuombe uzimaNetanyau, kama wameahidiwa ubunge na wakaupata, what else do they need?
Majinga ya kiwango Cha SGR kuwahi kutokea na malipo ya watu Kama hao ni kuuwawa.wamechoka kula ugali , sasa wamefuata ubwabwa
Kiswahili tu shida?Chauma hoyeee!