Wameamua kwenda kula pilau kwa mzee dah..π€£π€£π€£Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
KWANI M WANASIASA ANA AIBU>? MBONA MCHUNGAJI KARUDI PAMOJA NA KUWATUKANA NA KUWATUNGIA KITABU CHADEMA CHA MATUSI LAKINI WAMEMPOKEA CHADEMAWewe unakuwaje na Taasisi ndani ya Taasisi una Itisha Presd Conference kwenda Against na Mambo ya Taasisi, Kwa Seniority aliyonayo Mrema mbona anaweza Kuaccess Secretariat na Kuraise Concern zake,
Wacha tuone huko Chauma sasa kama wata trend its matter of time watakuwa out the pitch tena Wanaweza kurejea Chadema kwa Aibu kubwa sana
Mawakala wa shetani kabisa hawa!Tulisema hapa Kuwa hawa jamaa wanatumika Kisiasa ili Kufifisha trending ya mambo ya Chadema, Leo wameona kuna issue ya Lissu ambayo ndio major trending news, Hapo hapo na wao wana create trending hawa tunawaita Toilet Papers kazi yao Ikiisha watakuwa dumped
Tuone Sasa Chaumma itanufaika vipi na team Mbowe.Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Ila wachaga kwa hapa wamechemsha.Yohana duka limefunguliwa CHAUMA, huku nako Warombo watauza t-shirt?ππ
Kumbe nawe ni Mrombo πΌJuma Lokole katika ubora wako
Hashim amekiongoza chama chake kwa miaka mingapi bila kuzuka migogoro? Wanachotafuta ni "peace of mind", Hashim atawapa hiyo.
Tulisema hapa Kuwa hawa jamaa wanatumika Kisiasa ili Kufifisha trending ya mambo ya Chadema, Leo wameona kuna issue ya Lissu ambayo ndio major trending news, Hapo hapo na wao wana create trending hawa tunawaita Toilet Papers kazi yao Ikiisha watakuwa dumped
Hawakujua kuwa waliokuwa ni punda waliombeba masihi ndio maana walitandikiwa vitenge wapite juu yake.Ila wachaga kwa hapa wamechemsha.
1. Moza Ally- Mchaga
2. Henry Kileo- Mpare/mchaga
3. Jacob Assenga - Mchaga
4. Devotha Minja- Mchaga
5. John Mrema- Mchaga
6. Godfrey Kinabo- Mchaga
Aisee Mzee wa ubwabwa akaongeze ndumba za kigoma watampora chama
Mrema sio mchagga ,amezaliwa tu uchagani. Umesahau kuwa moshi wapo wakamba na wataita?Zamani nilikuwa nafikir wachaga wote kabla Wana akili timamu
Hashim amekiongoza chama chake kwa miaka mingapi bila kuzuka migogoro? Wanachotafuta ni "peace of mind", Hashim atawapa hiyo.
Amandla...
KitukoWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
Tukujibu au tuko kwenye ignore list?ππKinachoshangaza ni jinsi mnavyofuatilia watu ambao mlisema walikuwa mizigo, magunia ya misumari, punda n.k. Hawa wanatafuta mahali ambapo wataheshimiwa na kusikilizwa. Rungwe ni msikivu, tofauti na Lissu, Mrema na Mnyika.
Mimi nilidhani wangeenda ACT-WAZALENDO lakini yote ni heri.
Amandla...
Vice versaNi kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Ni kweli kabisa ,wakamba na wataita kibao kwa mgongo wa koo za uchagani.G 55 ni Warombo siyo Wachaga π