Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mission accomplished .

Arusha ni moja ya miji ya kimkakati ni lazima iangaliwe uzuri.
 
Kwa nini unataka wote mjazane chini kama wewe? Hii roho mbaya sana ndio maana umeganda hapo hapo kwenye zege. Mungu kakisudia ugande hapo hapo.
Mkuu umempa za uso..Kuna watu wanaroho ya kuwaona wale waliowazidi kiuchumi au kimadaraka wanashindwa..au wanaanguka...yaani wanafurahi kweli...jambo ambalo sio sawa hata...kidogo..kuombeana mabaya watanzania wenzangu sio Sawa..daima tupendane na tuombeane mafanikio...kila mtu katika nafasi yake ....bila kujali tofauti zetu kiuchumi,kimamlaka,kidini,kikabila au kirangi..
 
Duh, huyu gambo kuna kitu kamchefua bwana mkubwa....
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…