Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mission accomplished .

Arusha ni moja ya miji ya kimkakati ni lazima iangaliwe uzuri.
 
Kwa nini unataka wote mjazane chini kama wewe? Hii roho mbaya sana ndio maana umeganda hapo hapo kwenye zege. Mungu kakisudia ugande hapo hapo.
Mkuu umempa za uso..Kuna watu wanaroho ya kuwaona wale waliowazidi kiuchumi au kimadaraka wanashindwa..au wanaanguka...yaani wanafurahi kweli...jambo ambalo sio sawa hata...kidogo..kuombeana mabaya watanzania wenzangu sio Sawa..daima tupendane na tuombeane mafanikio...kila mtu katika nafasi yake ....bila kujali tofauti zetu kiuchumi,kimamlaka,kidini,kikabila au kirangi..
 
UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA

Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta

Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa na Kenan Kihongosi wa UVCCM Iringa

Aidha, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. Maulid Madeni na kumteua Dkt. John Pima kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri

#JFLeo #Magufuli
View attachment 1483586

Soma pia:

1) Arusha: RC Gambo aibua sintofahamu Soko la Samunge, abeza taarifa ya DC na Mkurugenzi

2) Ugomvi baina ya RC Gambo na Mkurugenzi wa Jiji Arusha lashika kasi

3) RC Gambo aumbuka vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “
IMG-20200619-WA0053.jpg
 
Back
Top Bottom