Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

Kusikia budget na kutekeleza budget ni vitu viwili tofauti. Muda ni mwalimu mzuri. Ushabiki pembeni, Mama anajitahidi sana kuvutia wawekezaji. Lazima tuwe na sheria za kuwalinda na kujilinda pia, ili wote tunufaike.
Ila mchwa wanakula hela za walipa kodi bila huruma. Hilo sio jambo la kuoneana haya wala kuficha. lazima wadhibitiwe
 
Hatotokea Rais wa kuvuruga uchumi wa nchi hii kama Magufuli.
Amekufa nchi ina upungufu mkubwa sana wa watumishi wa umma lkn mama anajitahidi kuajiri sasa hivi na ht kupandisha madaraja na mishahara.
Uanzishaji holela wa miradi mikubwa kuliko uwezo wetu vinatutesa sana
 
Nonsense man
Wewe ni mpuuzi kama sio jinga ,unaweza onesha Tanzania ilipoelemewa na Madeni?

Unajua maana ya uchumi kwanza? Alielemewa na Madeni Huwa anakopesheka?
 
Rais Samia ndio Rais anaefanya vizuri kwenye Uchumi kuliko Marais wote niliowahi kuwashuhudia ,wa pili ni Mkapa
 
Watu mmekaa ofisini mnaongelea uchumi
Uchumi gani wakati amfanyi biashara
Njoo kwenye biashara baada ya miezi 6 utajilaumu ulichoandika

Mwacheni Samia afanye kazi
Wewe kwako ikiwa mbaya sio lazima ni mbaya Kwa wote..

Huwezi hata kujiuliza maswali madogo jinsi Kuna Kasi ya watu kununua magari huko mitaani?

Kasi ya kukua Kwa mikopo.kwa hivi kwako inamaanisha nini?
 
Rais Samia ndio Rais anaefanya vizuri kwenye Uchumi kuliko Marais wote niliowahi kuwashuhudia ,wa pili ni Mkapa
Hizi propaganda hata Russia zimejaa kibao πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Tuongee uhalisia sio hadithi hadithi...unajua Escrow ilitengenezwaje? Na hizi mambo kama hiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi propaganda hata Russia zimejaa kibao πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Tuongee uhalisia sio hadithi hadithi...unajua Escrow ilitengenezwaje? Na hizi mambo kama hiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama ni propaganda basi endelea kulalamika utaona moto
 
Unajua sababu za Dola Kupungua? Kwanza wewe unauliza swali ni mfanyabishara au ni wale wa kusimuliwa?
 
Uchumi unadorora unaweza kuleta Ajira? Mapumbavu mko wengi sana
 
Wewe ni mpumbavu hakuna unachojua ..

Uchumi unadorora 🀣🀣🀣
 
2025 Kuna uchaguzi hii ndege ni Hadi 2030 ,jipange Kisaikolojia bwana jasiri unaeendeshwa na goi gio 😁😁
 
Ukiona unapongezwa na ma beberu, inabdi ujitafakari...
 
mrithi wa mamako atakuwa na kibarua cha aina gani. we nyang'au ututolee huo upupu wako, rais wetu anafanya vizuri sana tena kwa mbali kuliko yule shetwani wenu. Wivu tu unawasumbua, mlitaka aharibu mpate la kusema sasa mnazusha tu nyie mapoyoyo, mshindwe na mlegee.
 
Mambo yetu sisi tusubiri WB kutuambia tuko vizuri ama vibaya?

Wewe unauonaje uchumi wa maza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…