Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Nisaidie namba yake nijalibu kumpa ushauli wa kitaalam
 
Wanachuo mapenzi yanawatesa sana, someni maisha ya mapenzi yapo tu na mkumbuke ARV zinaenda kuadimika.
 
Binti mdogo wa chuo anakata tamaa kuachwa na kiboyfriend tu hadi aache masomo! Watu wazima wenye watoto na ndoa za kanisani bomani na misikitini zilizoshuhudiwa na mamia ya watu wanaachwa na maisha yanendelea ije kuwa boyfriend ambaye hata hajawaza kuwa baba, mume, kumtambulisha kwao? Sa zingine mshauri ukimpa na makavu laivu, unamwambia acha us*ng*e wewe maisha lazima yaendelee kaza fuvu fanya kilichokuleta chuo, huo ndo urafiki wa kweli sio unashauri unabembeleza mnabebishana kama wajinga
 
Badala ya kutafuta skills nyinyi mnatafuta Styles.Nyinyi vitoto mmefanya Ngono ndo kila kitu. Wazazi wenu wapo wanaangaika nyinyi ni mwendo wa kuvipanua tu!
Mwambie rafiki yako Dawa mnuturisho zimepigwa pini.
 
Unatoa ushauri au unagomba
 
Wanaume: mnaona mwanamke akiumizwa kihisia anavyosaidiwa? Dunia nzima itambembeleza na kumpa sapoti

Ila wa kiume ukiumia kihisia: utakula matusi, utachekwa, utaitwa dhaifu, utataniwa sana. Ni mama yako tu atakayekuonea huruma, hata baba yako asikuonee huruma.

Usimuonee huruma mwanamke. Hiyo ni kazi ya umma. Usifanye maamuzi ya kihisia kwa kumuonea huruma. Protect yourself.
 
Broo,
Yote hayo bila kukojozwa itakuwa bado
 
Kuna thread humu JF inasema (MUACHE AENDE) ntafutie ausome anaweza ongeza kitu kichwan kama akili zake zipo salama kabisa mm nlipigwa chin mwaka 2024/12/25 saiz nakula ukwaju na watoto ukuuu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…