wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,203
Mbingu au mbinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa juu juu wapi? kwa direction ya kwenda wapi? maana haya dunia yetu iko anganikwa mujibu wa maandiko wansema juu utaona hata YEsu alikuwa anainua mikoni yake juu nakuelekea mbinguni
Maneno aliyasema yesu na kuinua macho yake kuelekea mbinguni BABA saa imekwish fika <yohana 17> kwa mujibu wa dini mbinguni ni juu sasa ww unasema hapo nilipo 😇😇😇
USIFANANISHE FALLING ANGELS NA VITU VYA KIPUUZI ETI MAJINI,MAPEPOLusifer Alikuwa MBINGUNI MALAIKA Alikuwa KIONGOZI wa Kuomba na kusifu.
MUNGU alimpendelea sana.
Alipoasi yeye na theluthi ya MALAIKA akatupwa Duniani.
Baada ya kutupwa Duniani, Lusifer akaitwa Shetani, au Joka.
MALAIKA walioasi wakaitwa Majini, MAPEPO, MASHETANI nk....
Hii ni kwa mujibu wa Bible
Swali lijibiwe kwa wema tu.Ila usieleze jinsi jua lilivyozama kwenye tope tu!Mkristo anawezakuwa Phd holder lakini linapokuja suala la dini anakuwa mpuuzi wa kureasoning zaidi ya mwehu.
Tupo upenuni kama Wafarisayo tunachekicheki majibu mkuu.Tartiiiib...!Uzi hautembei kabisa
Tunapoelekea mwisho, ukweli unazidi kuwa bayana. Ona huyu Sheikh Imran Hosein alivyouonya Umma wa Kislam ambao kwa miaka mingi walipotosha Quran 4:157 wakisema kuwa Yesu hakusurubiwa, Wala hakuna, Wala hakufufuka badala yake Mungu alimuweka kwa Muujiza Yuda!! Shekh ameanza kwa kutoa tafsiri ya kusurubiwa, akaja tafsiri ya kifo na hatimaye aka conclude kuwa Mungu aliitoa Roho ya Yesu akiwa kwenye MTI wa Mateso na baada ya kumuweka KABURINI akamrudishia ROHO yake. Ndyo maana Qur'an 4:157 ikasema hakufa. Lakini hilo fundisho lao la kubadilishiwa YUDA haliko kwenye Quran
Kiuhalisia ni kuwa swali lako lilishaulizwa na wasiokuwa waislam waliopita kabla yako . Waliuliza kwanini Quran haikuteremshwa katika mfumo wa karatasi ama kitabu. Wawe wanaweza kukishika.Heri ya Pasaka?
Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.
Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?
JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?
1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.
2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?
3. Mbona ni tofauti sana na KIPINDI Cha Musa Mungu aliandika zile Amri Kumi kwenye mabamba mawili ya mawe na kumpa Musa kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 24:12-18) Zile Amri Kumi zimeorodheshwa kwenye Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21.
4 JE tuna ushahidi Gani kama Quran ilishushwa na Mungu?
Natamani Mjadala Huu tujikite kwenye kujibu hoja sio Dini .
Natanguliza shukrani nyingi.
USIFANANISHE FALLING ANGELS NA VITU VYA KIPUUZI ETI MAJINI,MAPEPO
Mkuu umepitia shule na kujifunza kusoma na kuandika...kuna alama za uandishi kama nukta, mkato, alama ya mshangao n.k...
Hiyo aya uliyoinukuu ina alama ya mkato baada ya neno Jibril...kisha ina muendelezo ...sijui umeiona vizuri
Quran ni maneno ya ALLAH. Yametoka kwake kuja kwa Mtume Muhammad (amani iwe juu yake) kupitia malaika Jibril.Nimecopy kwa member mmoja ila nimemsahau kuweka alama.(C&p)
Naomba mnielekeze vizuri.
Quran imetoka wapi?????
Kama alivyo mama yako.Waislamu ni wapumbavu sana hawa watu.
Hakuna jibu la uhakika utapata , Koran alidai Muhammad kashishiwa na jibril hakuna ushahidi wowote ni yeye tu kaaminisha watuNasubiri mtu mwenye majibu ya uhakika wakuu.
Sijapata Bado jibu lenye mashiko........
Kiarabu imeandikwa "Man kaana" means " whoever" is an enemy to jibril (Gabriel)," fainnahu nazzalahu" means for ineed he (Jibril) has brought it (Quran) down to your heartNimecopy kwa member mmoja ila nimemsahau kuweka alama.(C&p)
Naomba mnielekeze vizuri.
Quran imetoka wapi?????
Die in your rage...huwezi kuizuia nuru ya uislam. Baba zako kina Abu jahal waliupinga uislam kwa mapanga na maneno ila walichemka itakuja kuwa wewe mpiga mboyoyoHakuna jibu la uhakika utapata , Koran alidai Muhammad kashishiwa na jibril hakuna ushahidi wowote ni yeye tu kaaminisha watu
Jibril mwenye Kuna mda alikuwa anakutwa na li shoga linaitwa kalbi akawa anadai jibril ndie kaja na umbo la kalbi
Al-Baqarah 2:97
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُۥ نَزَّلَهُۥ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ ٱللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ
Sema (ewe Muhammad kuwaambia mayahudi)🙁yeyote) Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo (Jibril) ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Swadakta.Qur'an haikushuka jinsi unavyodhani.
Qur'an ni ufunuo alioshushiwa Mtukufu mtume Muhammad (saw) na Allah kupitia Malaika Jibril (as), yaani Wakati ufunuo wa Qur'an ulipokuwa unaanza malaika Jibril alimfahamisha Mtume (saw) kupitia Wahy ili awaandae Waandishi kwa ajili ya kuandika kile ambacho wakati huo atakuwa anafunuliwa,
Ukiangalia Qur'an mwanzoni mwa Sura zake inanza na; بسم الله الرحمن الرحيم, yaani kwa jina la Allah Mwingi wa rehema na ukarimu, hapo wale waandishi huanza kuandika wakijua Kwamba hapo ndio mwanzo wa ufunuo na waliendelea kuandika hadi mwisho wa sura, baada ya ufunuo kumalizika hapo ndipo mtume (saw) aliwaambia wale waandishi waanze kumsomea ili ahakiki kwani Mtume (saw) baada ya kufunuliwa Qur'an ilinasa hapohapo kwahiyo kama katika kuandika kungekuwa na makosa basi hapo angeyasahihisha.
Qur'an yote iliandikwa kwa kipindi cha miaka 23, miaka 13 Mtume (saw)akiwa Makkah na miaka 10 akiwa Madina.
Hadi mtume (saw) anafariki Qur'an ilikuwa imeandikwa kwenye vipande vya ngozi na magome ya miti maalumu kwa kuandikia (scrolls) nk na ni kipindi cha Khalifa Seydna Umar (ra) ndipo alipofanya juhudi ya kuikusanya na kiuweka katika jalada moja (compiled in one volume from the scrolls) na hizi Qur'an za leo zilizoandikwa kwa karatasi za kisasa zimetokana na hiyo Qur'an iliyokuwa compiled na khalifa Hadhrat Umar (ra), hiyo ni historia fupi ya jinsi Qur'an ilivyoshuka/ilivyoshushwa.
Inaonekana kilichokuchanganya ni neno "kushuka/kushushwa" ukadhani kwamba inaposemwa kitu fulani kimeshuka hususan kutoka mbinguni basi huenda kitu hicho kimetoka mbinguni kidhahiri.
Neno "shuka" limetumika sana katika Qur'an kwa maana ya kuja, kutokea nk kwa kitu chenye manufaa makubwa kwa binadamu, neno mbinguni nalo masna yake ya kiroho ni ulimwengu wa kiroho, ulimwengu wa heshima nk hivyo inaposemwa Qur'an imeshushwa kutoka mbinguni maana yake ni hiyo tu Kwamba Qur'an imeshushwa au imekuja kutoka kwa Mungu na sio vinginevyo.
Mfano; katika Qur'an Mungu anasema; "--- na ametushushia wanyama wanane" (39:6 Qur'an), je hapo unaweza sema Wanyama hao 8 wemeshushwa kutoka juu (mbinguni)??
Pia Allah anasema; قد انزل الله اليكم زكرا , yaani; bila shaka Allah amewashushia ukumbusho (Qur'an ), (65:10)
Isitoshe Allah anasema; و انزلنا الحديد yaani; tukakishusha chuma (57:25), hapo Allah amesema "tukakishusha chuma" haina maana kwamba Chuma amekishusha kutoka juu/mbinguni bali maana yake ni kwamba Chuma kinayo faida kubwa kwa binadamu ndio maana Allah kasema kakishusha na hivyo ndivyo inaposemwa Qur'an imeshushwa maana yake ni hiyo hiyo kwamba Qur'an inayo faida kubwa sana kwa binadamu.
Ulitaka umuone sasa hivi jibril akwambie kuwa iamini Quran? Hakuna kulazimishana kuamini...ukitaka we kufuru ila mwisho tutakuja kuona nani alikuwa katika njia iliyonyooka na nani atakayeangamia.Hakuna jibu la uhakika utapata , Koran alidai Muhammad kashishiwa na jibril hakuna ushahidi wowote ni yeye tu kaaminisha watu
Jibril mwenye Kuna mda alikuwa anakutwa na li shoga linaitwa kalbi akawa anadai jibril ndie kaja na umbo la kalbi
Jibu lipo katika post #46Nasubiri mtu mwenye majibu ya uhakika wakuu.
Sijapata Bado jibu lenye mashiko........
Zamani fasihi simulizi ilikuwa na nguvu Sana kuliko fasihi andishiMtume alikuwa hajui kusoma wala kuandika na mpaka anaondoka katika ulimwengu huu hakujaaliwa uwezo huo na huu ni muujiza pia kwani kama angekuwa anajua kusoma na kuandika, waliokufuru wangemzushia kuwa Mtume alikuwa akisoma vitabu vya mayahudi na wakristo kisha kuhadithia au alikuwa akinakili maandiko ya wayahudi na wakristo.