Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

Ulitaka umuone sasa hivi jibril akwambie kuwa iamini Quran? Hakuna kulazimishana kuamini...ukitaka we kufuru ila mwisho tutakuja kuona nani alikuwa katika njia iliyonyooka na nani atakayeangamia.
Watu walikuwa wakimuona shoga kalbi hawaelewi ndie jibril au ndie kalbi shoga

Kuna shoga mmoja alikuwa anaitwa kalbi alikuwa mrembo Sana , mara nyingi Muhammad alikuwa anakutwa nae chumbani kwake , Muhammad akaona isiwe tabu akawa akikutwa nae anawaaambia ni jibril kaja na umbo la huyo shoga

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
 
Hay
Neno adui linaingia kuwakilisha nini????

Kwa Elimu yangu ndogo.
HUWEZI ukatumia jina la mtu mala Tatu kwenye sentensi Moja.

Haileti mashiko kutuambia
Sema (ewe Muhammad kuwaambia mayahudi)🙁yeyote) Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo (Jibril) ndiye aliye iteremsha Qur'ani....

Neno adui lilikuwa linawakilisha nini????
Hayo mabano nimeweka ili kukurahisishia kuelewa nn kilimaanishwa. Hiyo aya iliteremshwa mara baada ya aliyekuwa kiongozi na mwanazuoni wa wayahudi walioishi katika mji wa Madina kwenda kufanya mazungumzo na Mtume Muhammad (pbuh). Huyo myahudi aliitwa Abdullah ibn salaam. Alifika kwa mtume akiwa ja maswali makuu matatu ili amjaribu nayo mtume kwani yalikuwa katika maandiko yao na hakuna yeyote ambaye angeweza kuyajibu isipokuwa mtu huyo ni Mtume wa Mungu...alivyouliza tu ,Jibril alishuka kutoka mbinguni kumwambia majibu Mtume...na mtume akasema Jibril ameteremka sasa hivi kunipa majibu ya maswali yako...Abdullah ibn salaam kusikia vile akasema kuwa "Jibril ni adui mkubwa wa wayahudi" na Mikail ndiye rafiki yao......hapo Aya hiyo ikashuka kuwaonya mayahudi juu ya uadui wao wanaoutangaza dhidi ya malaika wa Mungu.
 
Heri ya Pasaka?

Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.

Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?

JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?

1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.

2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?

3. Mbona ni tofauti sana na KIPINDI Cha Musa Mungu aliandika zile Amri Kumi kwenye mabamba mawili ya mawe na kumpa Musa kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 24:12-18) Zile Amri Kumi zimeorodheshwa kwenye Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21.

4 JE tuna ushahidi Gani kama Quran ilishushwa na Mungu?

Natamani Mjadala Huu tujikite kwenye kujibu hoja sio Dini .

Natanguliza shukrani nyingi.
Kisayansi ni uongo eti qouran ilishuka kutoka mbinguni. Kwanza mbinguni zama hizo binadamu walijua ni juu zaidi tunakoona mwezi na nyota. Siku hizi tumejua mbingu ni kitu zaidi hakijatambulika ni wapi.
Tunapokuja kiroho ni masuala ya imani tu. Eti quoran ilishuka au kushushwa kwa aya kuteremshwa na kuandikwa na mtume au mtu mwingine kaandika kwa niaba yake. Kwa kweli ni mambo ya imani tu.
 
Watu walikuwa wakimuona shoga kalbi hawaelewi ndie jibril au ndie kalbi shoga

Kuna shoga mmoja alikuwa anaitwa kalbi alikuwa mrembo Sana , mara nyingi Muhammad alikuwa anakutwa nae chumbani kwake , Muhammad akaona isiwe tabu akawa akikutwa nae anawaaambia ni jibril kaja na umbo la huyo shoga

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
We jamaa siwezi kupoteza muda wangu kujadiliana na wewe.Maana upo hapa ukiwa na lengo ya kupotosha tu maandiko na unajua fika kile unachokifanya.

Dihya al-kalbi alikuwa ni swahaba wa Mtume Muhammad (amani iwe juu yake) hakuwa shoga kama unavyodai ila alikuwa ni handsome man among the people of madinah.

Jibril alikuwa akija kwa Mtume katika umbile la kibinadamu na hata maswahaba walishawahi kumuona katika umbile la Dihya al kalbi ila hawakumjua mpaka pale alipoondoka na Mtume akawatanabahishia kuwa yule aliyekuja alikuwa ni Jibril
 
Al-Baqarah 2:97

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُۥ نَزَّلَهُۥ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ ٱللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

Sema (ewe Muhammad kuwaambia mayahudi)🙁yeyote) Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo (Jibril) ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Mabano yote ni Yako umeongezea , yaondoe mara moja
 
Hujalazimishwa kuiamini Quran ila mwisho jua kuna Pepo na Moto. Uchaguzi ni wako sisi kazi yetu ni kufikisha ili siku ya hukumu usije ukaleta hoja kuwa ujumbe haukukufikia
 
We jamaa siwezi kupoteza muda wangu kujadiliana na wewe.Maana upo hapa ukiwa na lengo ya kupotosha tu maandiko na unajua fika kile unachokifanya.

Dihya al-kalbi alikuwa ni swahaba wa Mtume Muhammad (amani iwe juu yake) hakuwa shoga kama unavyodai ila alikuwa ni handsome man among the people of madinah.

Jibril alikuwa akija kwa Mtume katika umbile la kibinadamu na hata maswahaba walishawahi kumuona katika umbile la Dihya al kalbi ila hawakumjua mpaka pale alipoondoka na Mtume akawatanabahishia kuwa yule aliyekuja alikuwa ni Jibril
😂🤣😂😂 Jibril Kwenye umbo la handsome man Kalbi , jamaa lilikuwa li shoga na Muhammad alikuwa akikutwa nae chumbani anadai ni jibril , wanakijiji wakawa hawaelewi wakimuona kalbi wanasema jibril 😂🤣🤣.

Ukijua maandiko ya waislamu ni Raha Sana hawawezi kukupotosha
 
Jibril alikuwa akija kwa Mtume katika umbile la kibinadamu na hata maswahaba walishawahi kumuona katika umbile la Dihya al kalbi ila
Nina ka swali ka nyiongeza
Mda jibril yupo kwenye umbo la kalbi wananchi wangemuotea wakamuuwa wangekuwa wamemuuwa jibril ?
 
Daaah mtu anauliza swali vizuri tu Kwa uwelewa wake wewe unaanza na matusi huoni ata aibu ndugu yangu waislam mbona hatufundishwi hivyo!
Wewe unadhani mleta mada ameileta kwa dhumuni la kutaka kujuwa kweli au ameleta ili awapate wenzie wamsaidie kuendeleza kebehi zake juu ya Qur-an? Wapo waliocoment kwa kebehi ambao wapo upande wa mleta mada,je umeona mleta mada ameshuulika nao kuwakemea kama dhamira yake ni ya kweli anataka kujuwa alichouliza? Hawa jamaa wkishashiba na kuvimbiwa huwa wanakuja kwa style hizi za kuja kukebehi na dharau za namna hii,hakuna anetaka kujuwa kuhusu Qur-an zaidi ya unafik na chuki zilizo wajaa mioyoni mwao.Muhammad (S.A.W) alishawajibu ktk Qur-an (Lakumdinu kum waliadiin) Nyinyi mna dini yenu na mimi nina dini yangu, Hivyo basi kila mmoja abaki na dini yake anayoiamini,Acheni dharau kenge nyie!
 
😂🤣😂😂 Jibril Kwenye umbo la handsome man Kalbi , jamaa lilikuwa li shoga na Muhammad alikuwa akikutwa nae chumbani anadai ni jibril , wanakijiji wakawa hawaelewi wakimuona kalbi wanasema jibril 😂🤣🤣.

Ukijua maandiko ya waislamu ni Raha Sana hawawezi kukupotosha
Huna hoja wala ushahidi kuwa dihyah r.a alikuwa shoga! Ila sishangai kama mmeweza kuwazulia uongo mitume ya Mungu, ndo itakuwa wanafunzi wao???
 
Huna hoja wala ushahidi kuwa dihyah r.a alikuwa shoga! Ila sishangai kama mmeweza kuwazulia uongo mitume ya Mungu, ndo itakuwa wanafunzi wao???
Jiulize weka akili Yako huru
Kalbi alikuwa handsome man Kijiji kizima , Muhammad alikuwa anakutwa nae chumbani , anasema ni jibril kaja na umbo la kalbi

Kwa Nini Jibril aje na umbo la mwanakijiji ambalo linaleta utata ? Watu wakimuona kalbi hawajui ni jibril au kalbi why?
 
Muhammad (S.A.W) alishawajibu ktk Qur-an (Lakumdinu kum waliadiin) Nyinyi mna dini yenu na mimi nina dini yangu, Hivyo basi kila mmoja abaki na dini yake anayoiamini,Acheni dharau kenge nyie!
Kila siku humu waislamu wanasema ukristo sio dini , wewe madai ya kusema Pedo. Muhammad alisema mna dini yenu umetoa wapi?
 
Heri ya Pasaka?

Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.

Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?

JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?

1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.

2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?

3. Mbona ni tofauti sana na KIPINDI Cha Musa Mungu aliandika zile Amri Kumi kwenye mabamba mawili ya mawe na kumpa Musa kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 24:12-18) Zile Amri Kumi zimeorodheshwa kwenye Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21.

4 JE tuna ushahidi Gani kama Quran ilishushwa na Mungu?

Natamani Mjadala Huu tujikite kwenye kujibu hoja sio Dini .

Natanguliza shukrani nyingi.
KUNA SIRI NZITO SANA kuhusu Quran, NA DINI ya kiislamu, naeleza kifupi sana
Quran imetoka , kwa Allah mungu wa Muhammad (yule mwenye watoto watatu wa kike) , NA SIO toka kwa Mungu Yahweh, Mungu wa Israel...... Muhammad na wenzake waliandika Quran ili kuweza kuwashawishi wakristo na wayahudi kumuamini mungu wa kabila la muhammad, allah ndio maana mmeona wamekopi kopi stori za biblia, wamejaribu kumfananisha mungu wa Kabila lao afanane na Mungu wa Israel ili kuwashawishi wakristo na wayahudi waamini , Pale walipogoma kumuamini, sasa ili bidi PANGA LIANZE KUPITA , kama mnakumbula Yesu alitabiri kuwa mtauwawa kwa sababu ya Jina lake yeye YESU (KING OF KINGS) , Mtume Paulo alitabiri kuna malaika wa Mwanga atakuja kuwadanya wengi, ndiye yule aliye mtokea mtume wa allah Kuwaletea Quran, Quran imechimba mkwara kuhusu kui hoji hoji, ina vitisho vingi mnoo,,, ndio maana hawana Muda wa ku ihoji na anayepinga kitabu hicho ametishishwa mnoo,,,,the devil is very intelligent
Time to accept Jesus Christ who died for your sins
Na

Mtume wa mungu wao Allah alitabiri alisema

"The most awful name in the day of resurrection will be the man who calls himself king of Kings"

King of king is Jesus , no wonder allah himself is afraid of a man who calls himself king of kings

Waislamu na Wakristo lets keep on loving one another in the name of Jesus ( TRUTH SHALL SET US YOU FREE)

Christians are taught to love all people ...muslims always hate Christians & Jews

God is LOVE [emoji120][emoji120]PEACE in Jesus'NAME
 
Hakuna kitu chochote kilichoshushwa, hizo ni story tu.
 
Heri ya Pasaka?

Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.

Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?

JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?

1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.

2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?

3. Mbona ni tofauti sana na KIPINDI Cha Musa Mungu aliandika zile Amri Kumi kwenye mabamba mawili ya mawe na kumpa Musa kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 24:12-18) Zile Amri Kumi zimeorodheshwa kwenye Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21.

4 JE tuna ushahidi Gani kama Quran ilishushwa na Mungu?

Natamani Mjadala Huu tujikite kwenye kujibu hoja sio Dini .

Natanguliza shukrani nyingi.
Ndio ilidondoka Paaaa !!!! Kama kile kimondo Cha kule mbozi, NAKALA zote, na hakuna kiwanda duniani Cha kuzichapisha!!!! zinakaaga mioyoni 😄😄😄
 
Heri ya Pasaka?

Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.

Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?

JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?

1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.

2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?

3. Mbona ni tofauti sana na KIPINDI Cha Musa Mungu aliandika zile Amri Kumi kwenye mabamba mawili ya mawe na kumpa Musa kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 24:12-18) Zile Amri Kumi zimeorodheshwa kwenye Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21.

4 JE tuna ushahidi Gani kama Quran ilishushwa na Mungu?

Natamani Mjadala Huu tujikite kwenye kujibu hoja sio Dini .

Natanguliza shukrani nyingi.
Uongo mtupu. Hicho ni kitabu kama vitabu vingine. Kimeandikwa na waarabu wenye hekima zao ili kutunza na kulinda tamaduni zao.

Weusi tunaandaa kitabu chetu chenye tamaduni na mila zetu ambacho tutakifuata kama msingi wa wa dini yetu.

maana hizi dini za kigeni zinatuletea tamaduni na mila za kijinga na wanatukalilisha mavitabu yao eti yametoka kwa Mungu wakati ni uongo mtupu.
 
Mungu anatafutwa kwa shida na mashaka sana,
Yaani watu wana-force hata kusadiki!
Kwa sifa za Mungu mwenyewe, yafaa Mungu mwenyewe awasaidie watu, kwa kuwa nia yao ni njema, wanataka kumjua kama walivyofanya Waisrael walipomwambia Mussa wanataka kumwona Mungu wenyewe, wakidai wamechoka habari za kuletewa, wanataka wamwone ili wamtukuze! Cha abau kuna watu wengi wamepoteza maisha yao au wakati wanalazimishwa kusadiki au wakati wa kulazimisha wengine wasadiki.

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Waisrael gani mnao waongelea. Hawa wahuni kila siku wanaua wapalestina na wanaokalia ardhi ya watu kimabavu?
 
He is deviant scholar...Quran ipo very clear on that matter! Allah anasema kuwa Isa mwana wa maryam hakusulubiwa na wala hakuuawa lakin walifananishiwa tu mtu na kwa yakini hawakumuua.

Masihi alipaishwa mbinguni na atarejea tena duniani akiwa kama mfuasi wa ummah wa mtume Muhammad na ujio wake ni ishara kuwa saa ya Qiyama imekaribia

Luuuu, Huyo masihi ndiye Yesu??

Si Qur'an inasema mitume wote kabla ya Mtume mtukufu (saw) wamekufa?!!
 
Back
Top Bottom