Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

Hujalazimishwa kuiamini Quran ila mwisho jua kuna Pepo na Moto. Uchaguzi ni wako sisi kazi yetu ni kufikisha ili siku ya hukumu usije ukaleta hoja kuwa ujumbe haukukufikia
Umetishwa sana, hutoweza kamwe kuhoji uwongo mliopigwa, umetishwa utaenda motoni , God is not a dictator, God has given us freedom, hadi leo bado mnaendelea kuabudu mungu wa kabila la muhammad.....bila kujijua....
 
😂🤣😂😂 Jibril Kwenye umbo la handsome man Kalbi , jamaa lilikuwa li shoga na Muhammad alikuwa akikutwa nae chumbani anadai ni jibril , wanakijiji wakawa hawaelewi wakimuona kalbi wanasema jibril 😂🤣🤣.

Ukijua maandiko ya waislamu ni Raha Sana hawawezi kukupotosha
wakristo mume wenu ni yesu yule wa mchongo na ndo maana mnamuita bwana.

👇👇Please masai njoo ujieleze hapa

"Kwa maana Mumeo ndiye Muumba wako; Bwana wa majeshi ndilo jina lake; na Mkombozi wako ni Mtakatifu wa Israeli; ataitwa Mungu wa dunia yote." (Isaya 54:5)
 
Soma Qur'an 3:144,
"Muhammad si chochote zaidi ya Mtume; Mitume wengine wamekwisha kwenda kabla yake. Je, akipatwa na mauti au akauawa, mtaacha kurudi nyuma katika Imani yenu? Atakayerejea nyuma hatakudhuru chochote Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu atawalipa wanaoshukuru."

wapi pameandikwa wamekufa wote ? Pameandikwa wameenda kwa kifo au njia nyingine ..
 
Huoni hilo swali hapo chini; "je (Muhammad) akipatwa na mauti au kuuawa---??".

Kupata mauti au kuuawa ndio njia ya za kifo kwa Watu wote na "manabii waliokwisha kwenda" kabla ya Mtume Muhammad (saw), kwisha kwenda/pita خلت hapo maana yake ni kufa angalia (pass away/خلت katika kiingereza).
 
issah alikufa? leta maandiko kwamba alikufa ...

Ninavyojua issah atakuja kuonya umaiti kwa sababu alishaahidiwa ila kabla kwa vile kuondoka kwake hakupata umauti.

pleas thibitisha kwa issah alikufa?
 
swali isa je amekufa ?
wengi wamekufa ila sio isa ...Kufika mbinguni kwa isa sio kwa kifo kama wengine na isa ni miongoni mwa manabii iyo sehemu ni concept inaonyesha wengine waliokufa ila sio isa bin maryam hapa tatizo ..

Hata wewe umeeleza aya ilipotoka ila concept ni kwa wengine except isa hakufa kuna ..Ila labda atakaporudi ndo anaweza kufa ila kwa mwanzo hakufa ili aliondoka kwenda huko mbinguni kama watu wakifa wanapoenda except hakuonya umauti kama wengine...

Kama kuna sehemu nabii isa alikufa sawa unaweza nionyesha siwezi kubisha ila mpaka unionyeshe hao wengine sawa walikufa ila isa hapana.

Mkuu aya inasema mitume kabla ya Muhammad wamepita ( خلت) kwa kufa, sasa kama kulikuwepo na exception ya nabii Isa (as) basi Allah angeitaja hapo, au Allah hakujua kwamba Nabii Isa (as) Yeye mwenyewe ndiye aliyempaisha "HAI"
mbinguni??.

Haya tuache kwanza hiyo aya 3:144 na tuje kwenye aya nyingine hii 5:117, ambayo specifically inazungumzia juu ya majibu atakayotoa Isa (as) siku ya kiyama pale Allah atakapomuuliza; Je Wewe (Isa) uliwaambia (Wakristo) wakushike wewe na mama yako (Bi Mariam) kuwa Miungu??--- angalia jibu lake mbele ya Allah siku ya kiyama litakuaje!!

Jua kwamba leo hii Yesu (Isa as) na Mama yake wanaabudiwa na Wakristo kama Miungu.
 
Sijawahi kuwaambia kitu chochote isipokuwa uliyoniamrisha niseme: "Muabudu Allah - Mola wangu na Mola wenu!" Na nilikuwa shahidi juu yao wakati nilipokuwa nao. Lakini uliponichukua mimi, Wewe ndiwe Mshahidi juu yao - na Wewe ni Mshahidi juu ya kila kitu"

Aya hiyo wapo juu wapi isa alikufa?

Aya ilikuwa inaeleza juu ya mtume Muhammad kwamba kama wenzio waliotangulia ila hakuna sehemu kwamba wore walikufa.. Imesema kama wenzio waliotangulia ikijumuisha kwamba nae yupo ataonja umauti hakuna maana ya moja kwa moja .
 
kingine usi-normalize tuanze kwanza kuzaliwa kwake ni tofauti na wengine manabii waliopita huyu ana Mama tu hapa dunia ...

Surah An-Nisa( 157-158) ndo inaeleza isa alichukuliwaje ..Usinormalize kufika mbinguni lazima ufe ila isa alikuwa exceptionally kwa binadamu .

Tuje kwa nn Isa atarudi na sio wengine .
 
KUNA SIRI NZITO SANA kuhusu Quran, NA DINI ya kiislamu, naeleza kifupi sana
Quran imetoka , kwa Allah mungu wa Muhammad (yule mwenye watoto watatu wa kike) , NA SIO toka kwa Mungu Yahweh, Mungu wa Israel...... Muhammad na wenzake waliandika Quran ili kuweza kuwashawishi wakristo na wayahudi kumuamini mungu wa kabila la muhammad, allah ndio maana mmeona wamekopi kopi stori za biblia, wamejaribu kumfananisha mungu wa Kabila lao afanane na Mungu wa Israel ili kuwashawishi wakristo na wayahudi waamini , Pale walipogoma kumuamini, sasa ili bidi PANGA LIANZE KUPITA , kama mnakumbula Yesu alitabiri kuwa mtauwawa kwa sababu ya Jina lake yeye YESU (KING OF KINGS) , Mtume Paulo alitabiri kuna malaika wa Mwanga atakuja kuwadanya wengi, ndiye yule aliye mtokea mtume wa allah Kuwaletea Quran, Quran imechimba mkwara kuhusu kui hoji hoji, ina vitisho vingi mnoo,,, ndio maana hawana Muda wa ku ihoji na anayepinga kitabu hicho ametishishwa mnoo,,,,the devil is very intelligent
Time to accept Jesus Christ who died for your sins
Na

Mtume wa mungu wao Allah alitabiri alisema

"The most awful name in the day of resurrection will be the man who calls himself king of Kings"

King of king is Jesus , no wonder allah himself is afraid of a man who calls himself king of kings

Waislamu na Wakristo lets keep on loving one another in the name of Jesus ( TRUTH SHALL SET US YOU FREE)

Christians are taught to love all people ...muslims always hate Christians & Jews

God is LOVE [emoji120][emoji120]PEACE in Jesus'NAME
We mbumbu tu miongini mwa mambumbu wa kikristo

Huyo Paulo mwenyewe aliyekuleta dini ya uongo ya kikristo alikuwa anajua kuwa Saudi Arabia Kuna ufunuo utakuja na aliyajua haya Kwa sababu alikuwa msomi mzuri wa Taurati

Wagalatia 4:21
Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je! Hamwisikii sheria?
Wagalatia 4:22
Kwa maana imeandikwa ya kuwa, Ibrahimu alikuwa na wana wawili mmoja kwa mjakazi, na mmoja kwa mwungwana.
Wagalatia 4:23
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.
Wagalatia 4:24
Mambo haya husemwa kwa mfano; kwa maana hawa ndio kama maagano mawili, moja kutoka mlima Sinai, lizaalo kwa utumwa, ambalo ni Hajiri.
Wagalatia 4:25
Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa anatumika pamoja na watoto.
Wagalatia 4:26
Bali Yerusalemu wa juu ni mwungwana, naye ndiye mama yetu sisi.
 
Sijawahi kuwaambia kitu chochote isipokuwa uliyoniamrisha niseme: "Muabudu Allah - Mola wangu na Mola wenu!" Na nilikuwa shahidi juu yao wakati nilipokuwa nao. Lakini uliponichukua mimi, Wewe ndiwe Mshahidi juu yao - na Wewe ni Mshahidi juu ya kila kitu"

Aya hiyo wapo juu wapi isa alikufa?

Aya ilikuwa inaeleza juu ya mtume Muhammad kwamba kama wenzio waliotangulia ila hakuna sehemu kwamba wore walikufa.. Imesema kama wenzio waliotangulia ikijumuisha kwamba nae yupo ataonja umauti hakuna maana ya moja kwa moja .

Swali moja kwako; je unajua kusoma kiarabu cha Qur'an na maana na tafsiri zake??

Kwanza tuanzie hapo.
 
Vyema, je Unaamini kwamba leo Wakristo wanamuabudu Yesu na Mama yake kama Miungu??
wanaamini maana ni miongoni mwao kwa sababu wana madhehebu mengi ila ni miongoni mwao..Atakuja kuwakana
 
Back
Top Bottom