Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

sasa juu juu wapi? kwa direction ya kwenda wapi? maana haya dunia yetu iko angani
 
USIFANANISHE FALLING ANGELS NA VITU VYA KIPUUZI ETI MAJINI,MAPEPO
 
He is deviant scholar...Quran ipo very clear on that matter! Allah anasema kuwa Isa mwana wa maryam hakusulubiwa na wala hakuuawa lakin walifananishiwa tu mtu na kwa yakini hawakumuua.

Masihi alipaishwa mbinguni na atarejea tena duniani akiwa kama mfuasi wa ummah wa mtume Muhammad na ujio wake ni ishara kuwa saa ya Qiyama imekaribia
 
Kiuhalisia ni kuwa swali lako lilishaulizwa na wasiokuwa waislam waliopita kabla yako . Waliuliza kwanini Quran haikuteremshwa katika mfumo wa karatasi ama kitabu. Wawe wanaweza kukishika.

MUNGU aliwajibu hivi

Quran...Al-An'am 6:7

وَلَوْ نَزَّلْنَا عَلَيْكَ كِتَٰبًا فِى قِرْطَاسٍ فَلَمَسُوهُ بِأَيْدِيهِمْ لَقَالَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ إِنْ هَٰذَآ إِلَّا سِحْرٌ مُّبِينٌ


Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri.
 
Mkuu umepitia shule na kujifunza kusoma na kuandika...kuna alama za uandishi kama nukta, mkato, alama ya mshangao n.k...

Hiyo aya uliyoinukuu ina alama ya mkato baada ya neno Jibril...kisha ina muendelezo ...sijui umeiona vizuri

Nimecopy kwa member mmoja ila nimemsahau kuweka alama.20PROFF.
(C&p)

Naomba mnielekeze vizuri.
Quran imetoka wapi?????
 
Al-Baqarah 2:97

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُۥ نَزَّلَهُۥ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ ٱللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ



Sema (ewe Muhammad kuwaambia mayahudi)🙁yeyote) Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo (Jibril) ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
 
Nasubiri mtu mwenye majibu ya uhakika wakuu.

Sijapata Bado jibu lenye mashiko........
Hakuna jibu la uhakika utapata , Koran alidai Muhammad kashishiwa na jibril hakuna ushahidi wowote ni yeye tu kaaminisha watu

Jibril mwenye Kuna mda alikuwa anakutwa na li shoga linaitwa kalbi akawa anadai jibril ndie kaja na umbo la kalbi
 
D
Hakuna jibu la uhakika utapata , Koran alidai Muhammad kashishiwa na jibril hakuna ushahidi wowote ni yeye tu kaaminisha watu

Jibril mwenye Kuna mda alikuwa anakutwa na li shoga linaitwa kalbi akawa anadai jibril ndie kaja na umbo la kalbi
Die in your rage...huwezi kuizuia nuru ya uislam. Baba zako kina Abu jahal waliupinga uislam kwa mapanga na maneno ila walichemka itakuja kuwa wewe mpiga mboyoyo
 


Neno adui linaingia kuwakilisha nini????

Kwa Elimu yangu ndogo.
HUWEZI ukatumia jina la mtu mala Tatu kwenye sentensi Moja.

Haileti mashiko kutuambia
Sema (ewe Muhammad kuwaambia mayahudi)🙁yeyote) Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo (Jibril) ndiye aliye iteremsha Qur'ani....

Neno adui lilikuwa linawakilisha nini????

Ili ilete maana inapaswa kusomeka aliyekuwa adui ndiye aliye.......
 
Swadakta.
 
Hakuna jibu la uhakika utapata , Koran alidai Muhammad kashishiwa na jibril hakuna ushahidi wowote ni yeye tu kaaminisha watu

Jibril mwenye Kuna mda alikuwa anakutwa na li shoga linaitwa kalbi akawa anadai jibril ndie kaja na umbo la kalbi
Ulitaka umuone sasa hivi jibril akwambie kuwa iamini Quran? Hakuna kulazimishana kuamini...ukitaka we kufuru ila mwisho tutakuja kuona nani alikuwa katika njia iliyonyooka na nani atakayeangamia.
 
Zamani fasihi simulizi ilikuwa na nguvu Sana kuliko fasihi andishi

Je unataka kutuaminisha P. Muhammad alikuwa kiziwi ?

Na toka lini kuwa mujinga (hujui kusoma na kuandika) ikawa ni muujiza na sio ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…