Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Tatizo la trinity dereva anakaa kushoto.... YAANI GARI INAENDESHWA NA WATU WAWILI. siku moja kidogo tugongwe na lory kisa dereva wa kulia alisinzia na huyu wa kushoto alitaka kuovertake.
Linaendeshwaje na wawili fafanua kidogo tujua hatari iliyopo
 
Nilimshuhudia huyu dereva anavyoliondoa Ubungo stand asubuhi, aisee ilikuwa ni balaa, watu wanamshangilia jinsi alivyokuwa analiondoa kwa ustadi mkubwa huku akiongeza na manjonjo, hatari!
Naomba namba yake
 
Friends Nairobi linaingia saa ngap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…