Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Ukipitia taarifa nyingi hapa JF wiki hii zinahusu magonjwa ya zinaa. Wahusika hawajui kabisa nini kimewasibu. Haya yaliyoko wazi kabisa bado wanauliza huku ili wapate suluhisho. Je, yale ambayo huja polepole watayaelewa kweli? Epuka zinaa ili uepuke HIV na magonjwa mengine kama hayo ambayo hayana dawa bali utaishia kupewa dawa za kufubaza magonjwa haya. Kumbuka mfadhili wa hayo madawa naye kachoka. Take care.
 
Genital warts hii husababishwa na kufanya mapenzi hasa hasa na Malaya wa ubandani hii ni common Sana huko

Ukitumia antibiotics itaondoka

Beware of STDs/ STI's

Screenshot_20250205-075936.png
Screenshot_20250205-080000.png
 
Back
Top Bottom