Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Wewe unapenda dushe ,mimi ningekuwa an mwanamke anayependa dushe ningeyafurahia maisha yangu .😁😁😁 Napenda kugonga kama sina akili nzuri.
Dah😂😂,. Tukijikite kwenye mada kwanza mkuu
Jamaa anataka tiba🤒🤒
 
Umekosea kuambatisha picha kama hivyo.

Ungeelezea tatizo kwa maandishi.

Ila ushauri wangu ,Fanya kufuatilia hali inavyoenda.
Kama vijipu vingine vikiongezeka basi ugonjwa utakuwa unaongezeka.
Itabidi uende hospital.

Ila kama Hiko kijipu kimoja kikipasuka na kukauka basi haina haja ya kuwa na wasiwas umepona
 
Back
Top Bottom