Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Kwa muonekano ni kama una bullous pemphigoid ambayo autoimmune disease yenye kupelekea malengelenge kwenye ngozi...

Ni vyema ukafika hospitali kwa kutazamwa zaidi...
 
Back
Top Bottom