Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Me naona ni kitabu cha kuweka picha(uso]za watu. [emoji23]
Ukisikia kesi za waliotekwa vyanzo,kama sii uso kitabu,istagrade,laa ni kule tuitani ndiyo visababishi.
 
Kuna huyu mkongwe anaitwa Mla Bata miaka ya nyuma alikuwa anatupa sana madini ya kuingia ughaibuni, ukisoma nyuzi zake unaweza ukadhani duniani hakuna shida wala kufa ni Bata tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, siku hizi kawa adimu sana.
Asante mkuu bado tupo, majukumu tu yameongezeka πŸ™ŒπŸΎπŸ™πŸ½πŸ’ͺ🏾
 
mutu murefu yuko poa sana mcheshi sana perfect wife material na mama bora kwa malezi ya watoto basi tu ameolewa 🫣🫣 daktari wangu
 
Utakuwa unatafuta kupanuliwa ili ujinafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…