Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

Kwa halii ukombozi wa Tanganyika upatikane???
Watu wanawaza ngono kila dkk, Lol.
Kazi ipoo.

Mmmh aha sawa
 
Kwani nani kakwambia mkewe anampiga zaidi ya kimoja

Kama kwa mchepuko nako unaishia kimoja basi tafuta dawa
 
1. Inaonekana una msongo wa mawazo au una sukari iliyokomaa
-unapokuwa unafanya mapenzi jiandae sana kiakili..ukiwa unafanya mapenzi jitahd sana kuweka akili hapo, acha kumuazia mchepuko wako ukiwa na mkeo..lakin inawezekana nyeto nayo ilikuwa sehemu ya maisha yako.

USHAURI
1.jitahidi sana kufanya mazoezi mbali mbali lakini siyo mazoezi yenye jamii ya kuendesha baiskeli
2. kula matunda hasa matango, parachichi, tikitit,
3. kula sana karoti, nazi, mihogo mibichi na karanga
4. epuka kula spinach/chines kula sana mchicha, tembele na mgagani uliopikwa kienyeji zaidi
5. epuka ugali utokanao na unga wa kukobolewa
6. jitahidi kuwa unatafuna karanga mbichi+mzizi wa mtula tula kwa wakati mmoja
7. epuka gongo
8. kula sana pili pili ili kuongeza joto mwilini hii ina faida kubwa sana.
9. epuka kufanya mapenzi kinyume na maumbile (epuka kula jicho)
10. jitahid kunywa maji mengi sana
11. jitahd kula samaki hususani ngele, sato, pweza au dagaa wa kigoma (madini chuma hapo)

12: TAFUTA PESA
 
Waone Masai au nenda hospitalini ukamuone daktari wa urologist atakupima ili kujuaa tatizo acha kutumia dawa yoyote ile ya kienyeji anzia hospital umsikilize daktari kwanza miti shamba utapigwa hela Hadi akili ziki kae sawa.

Usipuuzie Hilo jambo Kuna, demu ALIKUA anakuja kazini kwetu kuonana na mshikaji wa hapo kazini than wanatoka kwenda wapi sijui badae nikaambiwa wanaenda kulombana, siku MOJA NAPIGA stori na mshikaji huyo nikashangaa ananambia huyu demu anae mganda ni mke wa mtu na ana watoto WATATU ila bado anataka mshikaji wangu amlombe haswa tena Hadi na simu jamaa ana bipu demu anapiga tena anakalipiwa na mshikaji wangu ilihali ana mume nyumbani,

Wanawake bhana basi TU mkuu
 
Fanya mazoezi ya kukimbia
 
Fanya mazoezi ya kukimbia
 
4. Epuka kula spinach

Umedanganya, nakusahihisha.
 

Attachments

  • Screenshot_20251209-123750.png
    224.6 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…