Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

No.12
 
Tutafute pesa mkuu, mie nishazoe hiyo hali within dk moja nimemaliza na usingizi juu kama hanitaki aondoke
 
Mwanachi kuilinda Tanzania ni jukumu lako

epuka kuichoma nchi yako
 
Ngono haijawahi kuwa na mshindi, bao moja vaa nenda katafute pesa, inatosha, hakuna mashindano na sehemu uliyotoka
πŸ˜πŸ‘πŸ˜‚πŸ’•β™»οΈ
 
Sex huwa inaandaliwa...ama ina maandalizi yake...ni lazima ujianda kabla hujaenda kuzagamua, sasa ukikurupuka tu kufanya sex bila kufanya maandalizi ya kutosha madhara yake ndio hayo.

Usifanye mapenzi ukiwa na njaa, fanya mapenzi ukiwa umeshiba na umekunywa vinywaji haswa.

Usifanye mapenzi ukiwa na mawazo...

Hakikisha unakula chakula ukipendacho...hapi ndipo Tatizo lilipo...wengi huwa wanakula chakula chochote tu kilichopo mbele yao mwisho wa siku wanaishia sahani moja wanaanza kuhaha...!​
 
Hilo goli moja shukuru lipo. Kuna watu wanahangaika hata goli moja halitoki licha ya mtulinga kusimama vema. Goli moja ndio bora na lina virutubisho vingi vya kutunga mimba. Magoli mengi ni kujichosha tu, wanawake hawayataki wanaumia kwa kuchubuka
 
Shida ni huyo mshirika wako(mke/kimada) uliyenaye, saikolojia ishamuona kuwa ni dada'ko na ni wa kawaida, hana jipya.

Nikuulize: ushajaribu 'k' mpya na ukaishia 'dali kimoko' na kukatakata mauno ya kuchechemea kwa chini kama bata afanyavyo?

Na 'k' mpya hiyo nayo isiwe zoa zoa, iwe rembo kishenzi na imekutoza hela kubwa ili akili zibaki zikisoma uwajibikaji na ukileta uzembe wa kipumbafpumbaf wa kushindwa, hela yako iwe imeenda mazima.

Ushajaribu?

Utakaza wewe, hadi utajishangaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…