Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

Wewe utakuwa haujaoa na ni kijana barobaro wa mtaani. Unaenda kwa wanawake vimada ukiwa na strees zako umedindisha ukichomeka dk2 chali,na ukisema upumzike dk30 mwanamke tayari anakuwa keshaondoka. Ukioa nakuhakikishia tatizo lako halitakuwepo. Japo unasema umeoa.
 
Juice ya Tango, Tikiti, tangawizi, kitunguu saumu na maji kunywa asubuhi mchana na jioni kwa wiki 2 njoo hapa utoe sadaka ya shukrani
 
Hiko kimoja unaoiga ndani ya muda gani, na je ikilala kuamka baada ya muda gani?
Shida imekuanza lin?
 
Toka nje na bango uingie barabarani kuwasilisha malalamiko yako
 
Sababu mtambuka
1. Umri
Umri wako kama ni 40+ wala usione ajabu sana. Muhimu unasimamisha na kupiga bao, sio kesi

2. Ndoa
Ndoa hujenga mazoea. Ajabu ukienda nje utapiga hata 3

3. Mvuto
Kama mwenza wako mvuto ni haba, usishangae. Inatokea

4. Kazi/stress
Kama kazi zako zinakupa changamoto ni wazi zinakwenda kuathiri maeneo hayo

5. Lishe
Kula vizuri na kula lishe. Nenda google/chatgpt utapata majibu

Mwanamke hahitaji raundi 2-3 kumridhisha. Kitendo cha kutaka kurudia ni kuwa bado ana hamu. Mtangulize aridhike kwanza kisha wewe. Sio lazima round 3 kwa siku, ila raundi moja kwa kila siku
 
Naona umeifunga mada mkuu.
Hakuna sehemu uloiacha.
 
Juice ya Tango, Tikiti, tangawizi, kitunguu saumu na maji kunywa asubuhi mchana na jioni kwa wiki 2 njoo hapa utoe sadaka ya shukrani
Muwekee na namba ya kupokea sadaka 🀣🀣🀣
 
Kamkomboe baba yako na mama yako kwenye umasikini kwanza mkuu
owa wanaTARIME wamezingua! Yaani mimi na marafiki zangu kama 6 tulienda kukaa maeneo ya shule ya TURWA tusubiri wawe wengi road tuliunge tera lakini sasa cha kuchekesha ni kwamba tangu saa 3 mpaka inatimu saa 7 hatukuona watu wakiandamana! Yaani ilitulazimu kila mtu arudi nyumbani kwao! GEN Z WA TARIME NI MAFALA KMK ZAO!.
 
Subiri watu wakomboe nchi ,hizo nyege zako mshindo peleka Kimboka au Riverside ,kama bei kubwa nenda uwanja wa fisi.
 
Hayo ni mambo ya kishirikina mkuu unafanyiwa na mwenye uwezo wa kukutibu ni mkeo pekee, fanya uniunganishe nae nimuelekeze dawa maana ni ya siri anapaswa kuijua yeye tabibu pekee hata wewe hupaswi kuijua utaona tu matokeo yakija kwa kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…