Naambiwa mabom yamepigwa ya kutawanya msafara wa mh Lissu mwenye clip tafadhali kutoka eneo la tukio
 
Avunje barrier aingie akisema haondoki ataumia yeye maana waliozuia wanaadilisha shift ye itabidi asimame hapohapoSa
Sasa na watalii itakuaje... wao watakua wanaruka angani?
Vipi picha kimataifa... huoni inaleta picha mbaya?
Yaani barabara imefungea,wewe unawaza kubadilisha shift... aiseem
 
Hizi ni dalili za ukoloni kurudi Tanzania leo hii mbuga zinauzwa kesho wataanza kuuza ardhi za makazi yetu wataanza kupewa wageni wamiliki
Kuna siku inakuja, japo hatujui ni lini wala saa ngapi ila naamini ipo inakuja, Watanzania wataamka kutoka usingizini/Ulimbukeni hakika naona kabisa kuna viongozi watakimbia hii Nchi.
 
Sasa na watalii itakuaje... wao watakua wanaruka angani?
Vipi picha kimataifa... huoni inaleta picha mbaya?
Yaani barabara imefungea,wewe unawaza kubadilisha shift... aiseem
Hehehee huyu naye unaweza kuta ni miongoni mwa wapiga zuio.
 
Endeleeni kusubiria majibu kutoka Kwa Serikali
 
Polisi wanavunja katiba wazi wazi wala.hawana hofu.

Nani anawapa hii jeuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…