Uchaguzi 2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

Uchaguzi 2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

Jambo ambalo CCM hawajui unapopiga mabomu wapiga kura wao kwenye uchaguz wanakupigia kura za hasira. Wanakunyima kura kujibu kipigo chako.
Wamenyimwa maarifa ili waangamie,mtu aliyeelimika ustaarabika akamilishwi na nguvu
 
Naona raia sa hivi hata hayo mabomu ya machozi hawaogopi tena.Yanapigwa wao wako zao tu kama hamna kinachoendelea.

mhhhh nyie jamaa bana[emoji38][emoji38]

video iko nusu umejuaje hayakuwavuruga???
 
Roho imeniuma sana. Salumu Mwalimu anapigwa mabomu na kufokewa kama mkimbizi asiye na haki. Wananchi wanataka kumsikiliza lakini polisi wanamharass na kumlazimisha aondoke. Hapana hii sio sawa kabisa. Sisi wote ni watanzania na Tanzania ni yetu sote.

hilo sio eneo la mkutano ni barabarani jama yangu.
 
Nikiwa Arusha ilikuwa vitu vya kawaida sana, dawa yake chupa ndogo tu ya maji unakuwa nayo kwishaa.

Ukihudhuria mkutano wa Chadema unabeba maji ya dharura, ukiwaangalia wakazi wa Arusha kwenye mkutano utaona wanayo.
Siku 28/10 tubebe maji mengi dunia ituone Magu kwisha kazi
 
Ukiona unaelekea kushindwa usisubiri mpaka ushindwe, tumia mabomu ndiyo maana mmepewa.
 
Hivi Mgombea Mwenza wa Magu yule Mama Samia Suluhu naye huwa anapigwa mabomu ya machozi hivi hivi?au yeye huwa hasimami barabarani kusalimia wananchi?
Akisimamishwa anakuwa kama Makamu wa Rais, ana mamlaka na uhuru wa kuongea na wananchi wa Tanzania na kutatua matatizo yao.
 
Jana niliweka hii habari hapa moderetor wakaiondoa. Sijui sababu ilikuwa ni nini?
 
Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana.

Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga.

Rais Magufuli anapita kila sehemu na kusalimia watu lakini hakuna wa kumgusa. Polisi mnahatarisha amani ya nchi.
View attachment 1585538
Unadai umeona kwenye video hii Mgombea Mwenza wa CHADEMA akisimama kusalimia watu na ndiyo sababu akapata yaliyomfika. Unaendelea kuuliza mbona Rais Magufuli huwa anasimama na kusalimia watu na huwa hakuna tatizo? Sidhani kama habari ya tukio unalosimulia ni rahisi kama unavyodai. Ungepeleleza kwanza ukajua chanzo halisi cha tafrani hiyo ndiyo ujenge hoja yako. Kwa maandishi yako, unataka tuamini umegundua kutokana na video hii kwamba chanzo ni huko kusimama kusalimia watu! Mbona mimi siyaoni hayo kwenye hii video? Kwamba anayehusika ni Mgombea Mwenza wa CHADEMA aliyekuwa na safari zake; pili, akasimama, sijui baada ya kuona kikundi cha watu akaona awasalimie; tatu, polisi wakajitokeza 'from nowhere' wakaanza kupiga mabomu! Ni lazima uwe na macho makali sana kuweza kubaini yote hayo kwenye hii video. Bila shaka kulikuwa na kitu zaidi ya hayo unayosema. Jambo la busara ni kubaini kwanza mtiririko wa tukio badala ya kujenga hoja tokana na fikra tu kwamba mambo yalikuwa hivi na vile. Nasema tena, haiwezekani kabisa kwamba tukio lilikuwa kama ulivyoeleza. Ni dhahiri kulikuwa na mambo zaidi ya hayo uliyosema.
 
Roho imeniuma sana. Salumu Mwalimu anapigwa mabomu na kufokewa kama mkimbizi asiye na haki. Wananchi wanataka kumsikiliza lakini polisi wanamharass na kumlazimisha aondoke. Hapana hii sio sawa kabisa. Sisi wote ni watanzania na Tanzania ni yetu sote.
Jinyonge, mfia chadema. Chama cha mataahira.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Akisimamishwa anakuwa kama Makamu wa Rais, ana mamlaka na uhuru wa kuongea na wananchi wa Tanzania na kutatua matatizo yao.
Lissu amesema haki yoyote ile aliyonayo Magufuli kwny uchaguzi huu na mimi ninayo,kama atasimama barabarani kuongea na wananchi na mimi nitafanya hivyo hivyo.

Imeisha hio.
 
Hivi Mgombea Mwenza wa Magu yule Mama Samia Suluhu naye huwa anapigwa mabomu ya machozi hivi hivi? Au yeye huwa hasimami barabarani kusalimia wananchi?
huko wilaya ya hanang` leo anasimama kila mahali kusalimianna na wananchi hakuna askari hata mmoja anayempigia chafya wacha mabomu
 
kuna sekta fulani hivi yenyewe huwa inaajiri vilaza ambapo vilaza hufundishwa namna ya kufanya kazi..kwao kutenda haki mwiko..ni full dhurma tu
 
Apigwe tu maana hakuna namna nyingine sasa from pinda waziri kuu msitaafu.
 
Lissu amesema haki yoyote ile aliyonayo Magufuli kwny uchaguzi huu na mimi ninayo,kama atasimama barabarani kuongea na wananchi na mimi nitafanya hivyo hivyo.

Imeisha hio.
Basi ataendelea kupigwa mabomu, popote atakapo kiuka taratibu.
 
Basi ataendelea kupigwa mabomu, popote atakapo kiuka taratibu.
Itakua vzr sana,since hakuna mwenye haki ya kumpokonya mtu haki yake ya kufa then hakuna haja ya kumuogopa mtu yoyote au kikundi chochote kile.
 
Back
Top Bottom