Hata kama picha siyo ya kweli, ila Tanzania ni nchi yenye watu wenye mentality za kitumwa ambao wapo tayari kurudi utumwani, halafu wadai uhuru na kuikabidhi tena nchi kwa CCM.
Nchi yenye wanaume wengi wenye viashiria vya ushoga ingawa wanajitahidi kujifichia kwenye kuulani ushoga.
Mkuu Mpya wa Mkoa wa Arusha Paul Bashite Makonda ambaye amekuwa na tuhuma nyingi , kuhusishwa na mambo mengi, sasa ameshushwa cheo kutoka Katibu mwenezi wa chama cha CCm mpaka kuwa mkuu wa Mkoa huko Pembezoni mwa Tanzania.
Inasemekana kauli zake za kukejeli mawaziri, na wakubwa ndio zimesababisha kutumbuliwa na kuna wana zuoni wanaosema ile kauli kuwa "Samia na Magufuli ni kitu kimoja" ndio imemuondoa uenezi taifa"
Kumbuka kwenye Uenezi alikuwa moja kwa Moja anaingia NEC -ya CCM na alikwua na ushawishi nanoi ateuliwe wapi , nani agombee , nani asigombee lakini sasa ameshushwa cheo.
Arusha wamemsusa, wametua nguvu kubwa kukodisha magari ya Monaban na makada wengine wenye tours lakini wananchi hawana mpango wowte.