Chadema mfano hadi walifikia kuona wakuu wa mikoa hata hawana maana yeyote
Makonda kaamua kuonyesha kuwa cheo cha ukuu wa mkoa sio cheo kidogo
Wananchi wakiskia mkuu wa mkoa anapita sehemu lazima heshima iwepo wajipange hata mabarabarani kumpokea mkuu wa mkoa Raisi wa mkoa
Makonda anarudisha hadhi ya ukuu wa mkoa ambayo ilipotea hapo nyuma
Heshima haitafutwi inakuja yenyewe.
Mwijaku amelipiwa ndege na hoteli kwenda kumtafutia mtu heshma huko Mecca, upuuzi mtupu!
Ukiona mtu anasema kuhusu hesham jua han heshma yeyote.
Obama alijizolea heshma dunia nzima, kila raisi alitamani kwenda US kukutana naye na wengi walikosa fursa hiyo, hakutfuta heshma ila matendo yake yalimuheshimisha!
Usitaka kutuletea utawala wa kikoloni wa Uingereza kipindi cha Area Commisioner hao walikuwa miungu watu wakiripoti kwa Malkia ila kwa sas ani "kama kajambanane, wengi ni waongo, walevi, waropokaji" hiyo heshma iyitatoka wapi?
Yule aliyesema kaonge a na Magufuli wakati mtu yupo Mawinguni unamuheshimu vipi?
aliyesema Wanajeshi wadeki barabara bada ya kuskia maandamano ya Chadema unamuweka kundi gani ?
aliyesema uchumi umekuwa wakayi hali mbaya unamuelewaje?
Mpaka Mheshiwa mpendwa wetu Rais Samia alimwambia "sasa ukue" means ana utoto!