Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

makonda anamisifa kama aliyokuwa Hayati Lyatonga (RIP) za kupenda kubebwa!
Huyu hata misafara hii atakuwa ali-initiate kuonyeshe yeye ni tofauti na wengine kitu ambacho sio kabisa!
 
Heshima haitafutwi inakuja yenyewe.
Sio vyeo vya kijeshi tafadhali

Mkuu wa mkoa anapigiwa saluti na vyombo vya jeshi sio hiari heshima wanampa kwa cheo chake kama kamanda wa vikosi vyote vya majeshi yote yaliyoko mkoani kwake sio anahitaji kuwabembeleza au ohh wakiamua wamheshimu haipo hiyo

Kuna vyeo mtu akishika lazima uheshimu utake usitake ni lazima kikiwemo cheo cha ukuu wa mkoa

Makonda anafufua hiyo heshima iliyopotea kwenye cheo cha ukuu wa mkoa

Ukuu wa mkoa hadhi ulishuka sana wacha Makonda anyanyue hadhi yake akianzia Arusha

Wakuu wa mikoa walikuwa wanaonekana tu kama wajinga fulani wasio na Impact yeyote na jamii kuona umuhimu wake kiasi mtu akiteuliwa kuwa mkuu wa mkoa watu wanajiuliza so what?

Makonda anaonyesha kuwa dhana ya cheo cha mkuu wa mkoa sio lolote au chochote kama watu wanavyodhani sio sahihi wakiwemo wakuu wa mikoa waliopo sasa hivi.Kuwa cheo cha mkuu wa mkoa ni kikubwa mno

Kuwa ukisikia mkuu wa mkoa anapita sehemu ni Big deal wabanchi lazima wajitokeze barabarani kumpokea

Anafufua heshima ya cheo cha ukuu wa mkoa
 
Sio vyeo vya kijeshi tafadhali

Mkuu wa mkoa anapigiwa saluti na vyombo vya jeshi sio hiari heshima wanampa kwa cheo chake kama kamanda wa vikosi vyote vya majeshi yote yaliyoko mkoani kwake sio anahitaji kuwabembeleza au ohh wakiamua wamheshimu haipo hiyo

Kuna vyeo mtu akishika lazima uheshimu utake usitake ni lazima kikiwemo cheo cha ukuu wa mkoa

Makonda anafufua hiyo heshima iliyopotea kwenye cheo cha ukuu wa mkoa

Ukuu wa mkoa hadhi ulishuka sana wacha Makonda anyanyue hadhi yake akianzia Arusha

Wakuu wa mikoa walikuwa wanaonekana tu kama wajinga fulani wasio na Impact yeyote na jamii kuona umuhimu wake kiasi mtu akiteuliwa kuwa mkuu wa mkoa watu wanajiuliza so what?

Makonda anainyesha kuwa cheo cha mkuu wa mkoa sio lolote au chochote kama watu wanavyodhani wakiwemo wakuu wa mikoa waliopo sasa hivi.Kuwa cheo cha mkuu wa mkoa ni kikubwa mno

Kuwa ukisikia mkuu wa mkoa anapita sehemu ni Big deal wabanchi lazima wajitokeze barabarani kumpokea

Anafufua heshima ya cheo cha ukuu wa mkoa
Nani aliua heshima ya cheo cha ukuu wa Mikoa ni nani?
Mwaka gani kilishuka?
Kilishuka cha mkoa gani ?
 
Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024.

View attachment 2957815
Hii nchi inavituko sana, kwani angeenda na gari moja kungetokea shida gani? Hapo pesa imechotwa sehemu, then baadae unashangaa mtu anakwambia kuna taasisi inatoitwa TAKUKURU.
 
Huyu jamaa ni mshamba sana anapenda kujilinganisha na wakubwa wake kama PM, VP ama Rais.

Hana muda ataenda Kolomije kulima mahindi .
Rule No. 1
Never outshine your master

Rule No. 2
Always observe Rule No. 1 above
 
Kwahyo kwa siku hyo watalii hawakupakiwa maana magari yote aliyakodi mwambwa...
 
Nani aliua heshima ya cheo cha ukuu wa Mikoa ni nani?
Mwaka gani kilishuka?
Kilishuka cha mkoa gani ?
Kuna sehemu nyingine mkuu wa mkoa hata akifika mkoani kwake watu hata hawamjui labda ajitambulishe au atambulishwe na hata akitambulishwa watu hata hawaba habari naye
Hata akisema aitishiwe mkutano aongee na wananchi atapata watu wachache sana tofauti na Makonda
 
Back
Top Bottom