Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

Ila umejitahidi mkuu...😜😜
 
Au hujaangalia huyo Trafiki anvyozuia Magari na Pikipiki mpaka msafara upite.

Acha ushabiki wa kijinga.
Sasa mkuu wa mkoa ulitaka akae kwenye foleni na msafara wake? Mkuu wa mkoa ndie raisi wa mkoa au hujui hilo?
 
mabilionea wa mawe mkae chonjo
Roho za kimaskini zina amini umaskini wao umeletwa na uwepo wa Matajiri.
Kuwa tajiri , mchimbaji, kumiliki kampuni za utalii, kuwa na hoteli ni kosa kwa sheria za Tanganyika?

"mtasubiri sana"
 
Sasa mkuu wa mkoa ulitaka akae kwenye foleni na msafara wake? Mkuu wa mkoa ndie raisi wa mkoa au hujui hilo?
ni kamishna wa mkoa,kuwaita wakuu wa mikoa ndo mana wengine wanajiona miungu watu mfano huyo makonda
 
Bongo nchi ya vituko kweli,naona naye RC ana blue lights,RPC kabla ya kwenda kupambana kulinda raia anahangaika na politicians?kwanza politicians ni akina nani?definition yao ni nini?
 
Mshamba ana mbwembwe za kikolomije ila ajue Arusha ndiyo mlango wake wa kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…