Kwani kajiandalia yeye huo msafara?Huyu jamaa ni mshamba sana anapenda kujilinganisha na wakubwa wake kama PM, VP ama Rais.
Hana muda ataenda Kolomije kulima mahindi .
Jamaa kauvaa mkenge kiainaWamiliki wa makampuni ya utalii nao wamechagua fungu la uchawa
Hao wamempa message kuwa Arusha ni mji wa kitalii hivyo asilete ushamba wake akawaharibia biashara.Wamiliki wa makampuni ya utalii nao wamechagua fungu la uchawa
Sisi ndiyo tunaumia kwa hicho na unachokiona anajilinganisha sijui na wakubwa wake kikazi.Huyu jamaa ni mshamba sana anapenda kujilinganisha na wakubwa wake kama PM, VP ama Rais.
Hana muda ataenda Kolomije kulima mahindi .
huyu kijana atafika mbali sana...Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024.
View attachment 2957815
🤜🤛Sawa👍
Tumeshakabidhiwa kwa waarabu na tayari kuna mtaala mpya wa kufundishwa kiarabu unaanza kutumika soonla Tanzania ni nchi yenye watu wenye mentality za kitumwa ambao wapo tayari kurudi utumeani, halafu wadai uhuru na kuikabidhi tena nchi kwa CCM
Airport ya Arusha ipo Kisongo karibu na gereza kuu la Arusha pale Kisongo siyo KIA.Kutoka Kia mpaka Arusha hakuna eneo lenye muonekano huo labla kama walipitia kufanya utalii wa ndani.
Ntakuwa wa mwisho kuamini.
Ni chawa mmoja tu wa kitalii ametoa magari yake mengine yote ya kodi zetuWamiliki wa makampuni ya utalii nao wamechagua fungu la uchawa
No please vyeo viheshimiwe mkuu wa mkoa ni kiongozi wa majeshi yote mkoani mwake na mkuu wa wilaya vivyo hivyo hao wengine hawajielewi ndio maana sasa hivi kumeibuka tendency ya kuona wakuu wa mikoa na wilaya kama tu watu wa kawaida tu kama watu wa mitaani tupole yao wote , ujana maji ya moto, ipo siku atanza kujuta kusema laiti ningelijua kujifunxa hekhma.
Walioudharaulisha ni wakuu wa mkoa waliopita?No please vyeo viheshimiwe mkuu wa mkoa ni kiongozi wa majeshi yote mkoani mwake na mkuu wa wilaya vivyo hivyo hao wengine hawajielewi ndio maana sasa hivi kumeibuka tendency ya kuona wakuu wa mikoa na wilaya kama tu watu wa kawaida tu kama watu wa mitaani tu
Makonda anarudisha heshima ya ukuu wa mkoa kuwa usichukuliwe kama cheo kisicho na maana yeyoye
Wakuu wa mikoa kama walikishusha h8cho cheo kuwa kionekane cha kawaida.Makonda anakirudisha kwenye hadhi yake kama enzi za akina Nyerere
Kuwa mkuu wa mkoa raisi wa mkoa akipita sehemu watu wote wanatakiwa kujua mkuu wa mkoa anapita raisi wa mkoa mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama vilivyoko kwenye mkoa
Ukuu wa mkoa ulishaanza kudharaulika sana Makonda anaurudishia heshima yake unapostahili kuwa
Chadema mfano hadi walifikia kuona wakuu wa mikoa hata hawana maana yeyoteWalioudharaulisha ni wakuu wa mkoa waliopita?
Waliouheshimisha ni wakuu wa mikoa waliopita?
Sasa , mikoa 29 iliyobaki ambaye Makonda si Rc inadharaulika?
Heshima haitafutwi inakuja yenyewe.Chadema mfano hadi walifikia kuona wakuu wa mikoa hata hawana maana yeyote
Makonda kaamua kuonyesha kuwa cheo cha ukuu wa mkoa sio cheo kidogo
Wananchi wakiskia mkuu wa mkoa anapita sehemu lazima heshima iwepo wajipange hata mabarabarani kumpokea mkuu wa mkoa Raisi wa mkoa
Makonda anarudisha hadhi ya ukuu wa mkoa ambayo ilipotea hapo nyuma