TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

R
R.I.P home body.

Kwa kingereza tunaita
Death Is Death Only
 
aendako atendwe sawasawa na matendo yake kadiri alivyowatendea wapinzani ktk zamu yake
 
Watu wazuri hawafi
 
Laiti kama MaCcm wote wanao iba kura, kupoteza watu, kufuja mali za umma, nk, wange jua mwisho wao ndio huu, basi wange mcha Mungu na kutenda yaliyo mema.
Muache na huyu Jaji aka hesabiwe madhambi yake aliyo tenda kukandamiza Watanzania na upinzani
 
Miaka hiyo raia huwezi miliki mguu wa kuku
 
Rip!

Naomba tuamini mtajwa kafa natural death kama hayati sokoine enzi zile Hadi Burito akawayangazia watz!!

Kwa maana zama hizi ni za uovu!
 
JEMEDARI UMEONDOKA. TUKO NYUMA YAKO MR..TENDWA , KIFO NI SHEREHE. WE ALL MUST PARTY HARD WHEN OUR TIME COMES
Hakuna cha jemadari wala nini, hiki kizee kilikuwa ovyo kabisa, kimehusika kuua demokrasia na kuzorotesha harakati za upinzani hapa Tanzania. Kama taifa hakuna chochote tulichokipoteza, na wala hatusikitiki kwa chochote.
Ndugu, jamaa na marafiki zake wa karibu ndio wanaweza kuwajibika kusikitika kwa kumpoteza mtu wao.

Sisi wengine hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…