Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Vema, sasa jitambulishe. Wewe ni msemaji wa ikulu, Polisi, msemaji wa JF au msemaji wa wanaokerwa. Maana umeongea kwa mamlaka. Tusije kukunukuu kumbe na wewe hujatumwa na serikali, ni mlima mahindi wa Idindilimunyu, tukanasa mtego uleule!!!
 
Acha kumtetea dikteta uchwara dah!
Wapinzani wanaelewesha wapiga kura kama wewe hutaki kuelewa hilo ni tatizo lako binafsi, jiongeze.


Dah! Chief umenikumbusha mbali sana hii clip.

Lakini hayati mwalimu hakuwa akisema ukiwa mpinzani basi uwe unatumia vigezo visivyo sahihi, unatakiwa kujipanga katika kumdhibiti kiongozi na kwa mtindo wa wapinzani wa kwetu wanakosea sana.

Inabidi wajipange upya ni mtindo tu wa uwasilishaji mada si vinginevyo, wakitoka kwenye hili basi wataonekana wamekomaa.
 
Na wewe utawekwa kwenye list ya watu mliotengeneza na kusambaza taarifa feki kwa kutumia nyaraka za serikali leo. Utashikwa tu. Chunga sana the government is watching.
 
Makosa yalitendeka kipindi akiwa waziri !!kama asingekuwa rais leo nani anagelipa deni hili?shame on you pepole!!wanafiki wakubwa sana kabisa.kipindi cha kapeni mbona hamkusema kama kuna deni tunadaiwa na lilisabababishwa na waziri Magufuli!!since 2015 up to early August 2017 mbona hamkuja na hoja hiii kuwa tunadaiwa hela hizo na kampuni hiyo ambayo yamkini ni matapoeli!!acheni chuki zenu binafsi .

HATA KAMA ASINGEKUWA RAIS LAZIMA DENI HILI TUNGELIPA UPENDE USIPENDE>>

NJONI NA HOJA NYINGINE!!

TUWE MAKINI TUNAPOINGIA KWENYE MIKATABA NA WAZUNGU AMBAO WENGI WAO HAWANA JEMA KWA MWA AFRIKA
 
Amaa kweli mumemwagwa kwa kazi maalumu ya kumshambulia lissu ambaye hana hata hatia ila mnakazana tu kukwepea tuhuma kwake maana haipiti saa mada inayo muhusu lisu inashushwa hapa polen sana wajinga nyie.
 
..is this for every citizen of our country?

..au "mzee" yeye ana haki ya kutoa kauli vile anavyojisikia?

The name is very quoted there for all to see.

Unataka kumaanisha waafrika wakitumia hilo neno baina yao ni sawa siyo?
 
Lakini ukumbuke pia WaTanznia hawahitaji hasara zinazosababishwa na viongozi kutumia vibaya madaraka na kulisababishia hasara Taifa. Leo hii nchi inadaiwa Billion 87 (ukiacha lile la SAMAKI ambalo ni trillion of money) kwa kauli ya mtu mmoja tu anayedhani yeye anaweza kuvunja mkataba kwa kauli zake halafu akabaki salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wapo wengi tu ila wakiingia ccm wanawaharibu akili angalia walivyowaharibu jaji mutungi na wengine wengi tu

Kumbe Mutungi ni mwanasheria nikajua jina lake anaitwa Jaji kama mtu kuitwa Mwalimu,Waziri nk

Maana yule prof kamshika jaji pabaya
 

Heri Tumbo la wamama wanaotambua kuwa jinsi waiishivyo wakiwa wajawazito ndivyo na watoto watakaozaliwa watakavyorithi sehemu ya mienendo ya mama zao.

Heri matumbo yanayobeba ujauzito sasa huku yakijipanga namna ya kuja kuhakikisha watoto wao hawavutiwi na ufisadi wa nafsi na akili
 
Kufanya upumbavu mfanye halafu mseme Lisuu anatumika. Lissu ana akili sana na hii nchi inamuuma na ndiyo maana anajaribu kuweka wazi kila uchafu ili wewe taahira na wenzako muelewe lakini naona hata hutaki kumuelewa. Kama na hapa hujamuelewa basi tafuta zile approved schools ukasome.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…