Makosa yalitendeka kipindi akiwa waziri !!kama asingekuwa rais leo nani anagelipa deni hili?shame on you pepole!!wanafiki wakubwa sana kabisa.kipindi cha kapeni mbona hamkusema kama kuna deni tunadaiwa na lilisabababishwa na waziri Magufuli!!since 2015 up to early August 2017 mbona hamkuja na hoja hiii kuwa tunadaiwa hela hizo na kampuni hiyo ambayo yamkini ni matapoeli!!acheni chuki zenu binafsi .
HATA KAMA ASINGEKUWA RAIS LAZIMA DENI HILI TUNGELIPA UPENDE USIPENDE>>
NJONI NA HOJA NYINGINE!!
TUWE MAKINI TUNAPOINGIA KWENYE MIKATABA NA WAZUNGU AMBAO WENGI WAO HAWANA JEMA KWA MWA AFRIKA
Ndiyo, bwana mkubwa anaendelea kupata ushauri wa namna ya kuwasilisha ujumbe wake kwa watu wa aina zote.
Kabisa......tena wapewe kifungo cha maisha .....majitu hayana ethics za kazi kabisa......Raisi toa hao watendaji takataka.....kuna vijana kibao mtaani hawana kazi weka hapo kaziniNi dhahiri ya kwamba huyo mtu TL anatumika na makampuni yanayonufaika sana kwa wizi warasilimali zetu, na baadhi ya watumishi wa umma na baadhi ya wana ccm kuichafua,kuipinga na kuidhoofisha SERIKALI YA SASA YA CCM. Nina ushahidi wa kutosha juu hujuma hii. Ambaye ataona nimevunja haki yake anipeleke mahakamani.
TL anafanya kazi hii kwa malipo,siyo bure. CCM wanawafahamu hao WASALITI. Iwaanike hadharani na kuwatimu. We cant let things go wrogly like that.Watumishi wa umma wanaofanya kazi ya kutoa taarifa za serikali watafutwe na kutumbuliwa kwa wakati.
Asante sana mkuu.Wameumbuka.
Na kwenye samaki sjui watasaje,na kwenye nyumba za serikali sjui watasemaje ndg msitete maovu kisa watawala iweni wakweli kwa manufaa ya taifa letu huyu mtu anamakosa tena mengi tu lkn pia ni muongo na mwenye roho yenye mtindio wa zambi.Nasema kuwa Tundu Lissu asiombe radhi.
Wakati rufaa iliyokatwa na serikali ikitolewa hukumu dhidi ya kampuni ya ujenzi tuliyovunja kandarasi yao, nani alikuwa waziri wa ujenzi?
Kifupi Kawambwa baada ya kuvunja ule mkataba serikali iliposhindwa kesi kwenye mahakama ya ICSID ilikata rufaa na hukumu ikatolewa kuwa tumeshindwa.
Hukumu hiyo ilitolewa wakati Rais John Pombe Magufuli akiwa tayari waziri wa ujenzi, je anayestahili kubeba jukumu hilo ni Kawambwa?
Tusipende kutafuta siasa nyepesi kwenye mambo mazito!
Mutungi ni jaji?Mkuu wapo wengi tu ila wakiingia ccm wanawaharibu akili angalia walivyowaharibu jaji mutungi na wengine wengi tu
Kwani ni uhaini kufichua kuwa serikali inadaiwa na kuna hatari ndege ya wananchi ikauzwa kwa sababu ya deni ambalo serikali inawaficha wananchi wake? Hivi ni nani katuloga sisi?Ni dhahiri ya kwamba huyo mtu TL anatumika na makampuni yanayonufaika sana kwa wizi warasilimali zetu, na baadhi ya watumishi wa umma na baadhi ya wana ccm kuichafua,kuipinga na kuidhoofisha SERIKALI YA SASA YA CCM. Nina ushahidi wa kutosha juu hujuma hii. Ambaye ataona nimevunja haki yake anipeleke mahakamani.
TL anafanya kazi hii kwa malipo,siyo bure. CCM wanawafahamu hao WASALITI. Iwaanike hadharani na kuwatimu. We cant let things go wrogly like that.Watumishi wa umma wanaofanya kazi ya kutoa taarifa za serikali watafutwe na kutumbuliwa kwa wakati.
Naomba unisaidie kuainisha hayo maslahi japo kwa ufupi maana tusiwe tunaongea tusichokijuaBora anyeonekana kibaraka lakini anaangaika huku na huko kwa maslahi ya taifa, kuliko anayeonekana mzalendo huku analiangamiza taifa
Acha mliwe.kama umekasirika rusha ngumi.Hoja sio kuliwa bali unaliwa kiasi gani na kwa muda gani? Je,katika kuliwa huwezi kuona umuhimu Wa aina ya mtu Wa kukula? Je,ukiona unafaa kuliwa huwezi kuchagua uliwe na watoto wako kwanza?
Mkuu mpk naona aibu kwa mtu mzima kama huyu kuongea upuuziHa ha ha ha ha MTU mzima anapoongea mambo ya kitoto inabidi nicheke tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiamini kila anayejibu kumtetea raisi basi ana uhusiano wa moja kwa moja na chama cha mapinduzi......la hasha wengine ni raia ambao tunataka kuona marekebisho yanafanyika katika uchumi na mfumo wetu wa uongoziLissu karusha kombola moja tu uvccm wote mnahangaika kujibu wala mpaka sasa hv hakuna hata mmoja aliyejibu, tulieni tu dawa iingie