Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

 

Attachments

  • 20170820_183337.png
    39.5 KB · Views: 38
Mkuu wala Rais Magufuli hakuwa waziri wa ujenzi mwaka 2009. Wamekosa hoja na dispute zipo duniani kote ndio maana sasa wameamua kuwa wasaliti wa nchi yao kwa kutoa taarifa kwa wabeberu!
 
Kwanini anaendelea kujificha ndani ya Ikulu na kumtumia msemaji uchwara wa Serikali? KULIKONI hadi aogope kuitisha news conference ili wana habari wamuulize maswali mbali mbali? Unyenyekevu wake kwa Watanzania lini ulifikia kikomo?

Dah alikua anaongea kwa unyenyekevu
Nimejua tofauti iliyopo kati ya wakati wa njaa na wakati wa shibe
 
Kuna mtu nilimwambia kuwa huku nikicheka sana, kwamba tu jiandae serikali kuja kukanusha tamko linalokanusha tamko badala ya kujadili deni wanamjadili mtu.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Fidia kwa
1: kubomoa kituo cha mafuta Mwanza bila kufuata sheria.

2:Meli ya samaki ya wachina

3:Ujenzi barabara Bagamoyo- Wazo

4:Uuzaji wa nyumba za serikali

5:Mv Bagamoyo

I never trusted that Chato man decisions at all.
Nakubaliana na wewe....mkuu hana busara na hekima bali anaendeshwa na munkari katika kufanya maamuzi...inatugharimu sana na inawagharimu familia pia zenye baba wa aina yake....sio baba mzuri na pia sio kiongozi mzuri.
TUNDA bora la BUSARA NA HEKIMA humea katika udongo wa uvumilivu na subra na kunyunyuziwa maji yaliyojaa ushauri toka kwa wasaidizi wako na kutiwa mbolea ya heshima kwa munaotofautiana mitazamo.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Asipoomba radhi watamfanyaje? Mkojo utahusika tena? We are just wasting time. Wao wakalipe tu gizo Billions then watulie na hiyo Bombardier iachiwe huku tukijiandaa mali nyingine kukamatwa, thanks to maamuzi ya Baba Jesca. Bichwa la Mwendawazimu Nchi hii.
 

so binadamu wote sio sawa ?

ushaona Trump anavyoitwa ?
 
Hopeless comments!
 
Kuna kaka yake anaitwa Allute Munghway mjengeni huyo!!
 
Acha kupotosha maandiko. Huyo mwanamke aliyekuwa akipiga makelele aponyeshewe na Yesu kuhusu binti yake alikuwa MKANANAYO. Na wakananayo si miongoni mwa makabila 12 aliyotumwa nayo Yesu kuja kuyaokoa. Kumbuka aliposema NA KATIKA MIJI YA MATAIFA MSIENDE.....WALA MIJI YA WATAKATIFU BALI IFUATENI NJIA KWA KONDOO WALIOPOTEA WA NYUMBA YA ISRAEL. Kwa nini alisema hivyo kwa sababu anasema SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WALIOPOTEA WA NYUMBA YA ISRAEL.
Usipotoshe masndiko kwa kudhani kuwa Yesu hakuvutiwa na makelele ya mwanamke Mkananayo bali hakupaswa kumponya maana si miongoni mwa makabila 12 ya Israel.
Wasomi wa biblia tupo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo sasa wamehitimu, maana kila kitu kinapatikana na kinawezekana kuanzia sahihi muhuli hadi nembo ya ikulu unaipata pasina shaka wala husumbufu.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…