Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Kwakweli wamenyong'omyeshwa sana.
 
NMB: Mshahara umetoka nyongeza ipo, lakini lazima ucheke tu

Nyongeza ni ndogo sana D wengi wanepewa 55k

A wamepewa 85k

Kweli hesabu ya accounts na ya ualimu darasani ni tofauti sana.
Pesa yote hiyo yaani 55,000 to 85,000 ni pesa kidogo? Acheni upumbavu nyie.
 
Kulikoni? Kwani si tulitangaziana kuwa ni kwa wale wa kima cha chini?
Kwani ni mara ya kwanza kima Cha chini kutangaziwa %atakayopata?miaka yote enzi za jk, mkapa, mwinyi, ilikuwa hivyo.. na wengine pia walikuwa wanaenda kwa % lakini pungufu kiasi.. mfano range 23% Hadi 5% kwa wale wajuu. Kilichofanyika huku na majigambo yote hakieleweki...!!!
 
Acheni kqzi tu sisi ambao hatujaajiriwa tunatamani basi hata izowalizo ongeza wangepunguza kwenye mshahara wazamani yaani mshara ndio upungue sio kuongeza natupo tayari kwa kazi nakuimba mama mama mama
Watastaafu... Utaajiriwa usiwe na kinyongo sio wao wamekunyima ajira. Umwombe Mungu ili utakapopata hiyo ajira akupunguzie huo mshahara !!
 
NBC tushavuta toka 18
 
Kuna umuhimu wa kupandisha bei za mahitaji mbali mbali ili kuendana na nyongeza lukuki za mshahara zilizotolewa na serikali yetu tukufu
Vitu vitapanda bei na vitaendelea kupanda...!!! Mfanye kazi kwa bidii jambo lile ndio limetekelezwa.
 
Unacheka kwa masikitiko walai!! Hutu Mama[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…