Bado unakatwa benki na inflation iko juu, bado unalazimishwa bank ya kuingiziwa salary ili ukuze biashara zao, baadaye wanakukata mdogomdogo ili waje kukulisha Kama mtoto. Binafsi haya maisha nilivyoyakuta niliyakataa kabisa. Haliwezakani niishi Kama mtt wa shuleni jamani. I love freedom a lot Ila sio hela. Unaamka kuwahi job whether you like or not. Is that your life.
Jiulize mbona mamba, cheetah ama American lion aka lion wao hukaa sehemu wakijificha, yaani wanakuwa na fuckin Patience wanajua muda wao wa kula yao, muda huu zebra, nyumbu wanakuja kunywa maji hapo mamba anapata kula yake. Anafanya kazi kwa instincts, hunches, gut feelings. Puma yeye anakaa juu ya mti deer akipita anaye huyo akimkimbia anasubiria Tena. Alaumiwe aliyeweka serikali Mana anapelekea wengine wananyonywa