Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kazi,kazi kulialia tuNdo hyo elf12 si afu Kila kitu Bei juuu
Wao wamejiongezea posho za juu hukoo,huku chini wanatunyonya
Mara 1000000000 Magufuli mnitukane tuu
Unataka nikuonyeshe saraly sleep ,me napokea mshara wa 1,350,000, nimeona kilichoongezwa akizidi elf 9,000Wewe huwezi kuwa Mtumishi, nakataa huwezi kuwa.
Elfu 9000, ni sawa na 9,000,000 ni kweli umeongezewa hiyo pesa.?
Unalalaamaa...wakati saa 4 asubuhi ofisini unasoma gazeti!!!...huwa mnaona hela za nchi ni haki yenuSubiria kwako ,kwangu nimeshapata salary na butwaa imenishika .
yaani sijaelewa bado rais kimempata nini mpaka akatufanyia hiki alichofanya, ila poa tuu maisha yenyewe tunapita tuu hayaBora huyo Me nimeongezwa elf 9000, ujinga mtupu,nieli ya magufuri mala 100, Maana kwa Magufuri mfumuko wa bei ulizibitiwa, Sasahivi majanga matupu huu ni upuuzi,Samia katuzalau wafanyakazi
MAMA ANAUPIGA MWINGI SANA CCM OYEEEKamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?
Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote zile increment haizidi 20K!
Nadhani Sasa ni muda wa watumishi wa umma kujitambua na kuacha kushoboka na serikali. Serikali ime-inflate gharama za maisha kwa kiwango kikubwa but then haina efforts za kuboresha maslahi.
Maamuzi ya namna hii yanapunguza morali ya kazi na kushusha uadilifu. Tutegemee uzembe makazini na kuongezeka ubadhirifu.
Serikali imeshindwa kusimamia utumishi wa umma hususani kwenye suala la maslahi.
Acha masihara 27,000/-Mshahara umetoka,msidanganyane.
Jamaa yangu ni teacher,kanitonya.
Yeye Yuko G. Alikua anapata 1,161,000 leo kakuta 1, 188,000
Wa mahesabu pigeni
Ni kupunguza matumizi yasiyo na ulazima
Huwezi kuingeza mshahara kwa kutegemea tozoSamia nimekuchukia sana,