Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Hii nchi ina watu wa ajabu sana!

Wakati wengine wanalilia waajiriwe wengine wanadharau nyongeza ya mshahara

Kumbuka kidogo kilichoongezwa ni kwa idadi kubwa ya watu na kitakuwa endelevu, kwa mwaka mzima kitakuwa ni kiasi kingi kimeongezeka kwenye bajeti ya serikali
 
Mbapu
 
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?

Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia
 
Back
Top Bottom