peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zimeshakua kazi za kutombanisha mijusi tu shit.
Piga forex usituchanganye sahvDah.. Bora niendelee kupiga forex tu!
Nikitengeneza $10 kila siku kwa mwezi nina kama kilo 6!
Watumishi poleni..
Bora Magu hakuongeza kabisa mshahara ila vitu havikuwa bei juu namna hii!
Sasa hiyo 20 inamsaidia nini mtu ambae garama za maisha zimepanda kwa kasi namna hii?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acheni kqzi tu sisi ambao hatujaajiriwa tunatamani basi hata izowalizo ongeza wangepunguza kwenye mshahara wazamani yaani mshara ndio upungue sio kuongeza natupo tayari kwa kazi nakuimba mama mama mama
Ila mna matusi sanaZimeshakua kazi za kutombanisha mijusi tu shit.
Kama yepi?Ni kupunguza matumizi yasiyo na ulazima
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?
Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote zile increment haizidi 20K!
Nadhani Sasa ni muda wa watumishi wa umma kujitambua na kuacha kushoboka na serikali. Serikali ime-inflate gharama za maisha kwa kiwango kikubwa but then haina efforts za kuboresha maslahi.
Maamuzi ya namna hii yanapunguza morali ya kazi na kushusha uadilifu. Tutegemee uzembe makazini na kuongezeka ubadhirifu.
Serikali imeshindwa kusimamia utumishi wa umma hususani kwenye suala la maslahi.

[emoji1787][emoji23][emoji849] duh
Bajeti ya kumwagilia moyo, mavazi nayo sio lazima ununue kila mweziKama yepi?
Dogo Semenya kwa kuwa una banda la mpesa umeona umefikaa unawadharau watumishi.Burn ndo nini, acha upuuzi mlamu.
Ulikuwepo? Ilipandishwa kiasi gan?Mwanasiasa sio mtu aisee! Poleni sana ndugu zangu.😀😀😀
Najiuliza hivi ilikuwaje JK aliweza kupandisha mishahara kiasi kikubwa vile kipindi chake na hawa wanashindwa wapi? Au ni dharau tu hamna cha kumfanya?