Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Hatimae hayawi hayawi yamekua, lile Jambo letu limekuwa sio Jambo letu Tena ,Bali kilio, Leo watumishi wa umma watalala mapema na viatu.
Hii Ni baada ya kuzania kikubwa Sasa limekuwa kiduchu, sensa wamepigwa na kitu KIZITO , na Sasa lile Jambo letu limewafletisha kabisa,
Sasa ndugu zangu watumishi msijali na Mimi ni mmoja wenu, nashauri tuwe Kama sirilanka , futa TUCTA ,FUTA CWT, FUTA UJINGA WOTE, FUTA CCM,
ILA KULE ZANZIBAR WAO WAMELAMBA ASARI HONGERA SANA .
ILA TUKUMBUKE KEKI INALIWA NA STAFF.
 
Watastaafu... Utaajiriwa usiwe na kinyongo sio wao wamekunyima ajira. Umwombe Mungu ili utakapopata hiyo ajira akupunguzie huo mshahara !!
Mjifunze kuridhika mmwhifadhiwa kelele kilasiku amini nawambieni jaribuni kuacha kazi wiki tu mkirudi hamtadai tena nyongeza yamshahara
 
nyie watumishi huwa hamueleweki, mwanzo mlikuwa mnalalamika kuwa muongezewe hata kidogo, leo Mama kaongeza mnaanza tena kulaumu, ooohh nyongeza ndogo!!!

mmesahau mlivyo henyeka awamu ya 5!!!

leo hii ndani ya mwaka mmoja Mama kawafanyia mambo kibao,
mmepandishwa madaraja/vyeo, nyongeza n.k.

Leo hii sisi tusio na ajira tunatamani sana, kama umechoka pisha sisi tuingie.

Ama kweli asiye shukuru kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru.

Watumishi punguzeni kudeka, mmezidi kudeka na hii ndio shida ya kudekezwa, hamkustahili kuongezwa mpaka baada ya miaka 10.
 
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?

Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote zile increment haizidi 20K!

Nadhani Sasa ni muda wa watumishi wa umma kujitambua na kuacha kushoboka na serikali. Serikali ime-inflate gharama za maisha kwa kiwango kikubwa but then haina efforts za kuboresha maslahi.

Maamuzi ya namna hii yanapunguza morali ya kazi na kushusha uadilifu. Tutegemee uzembe makazini na kuongezeka ubadhirifu.

Serikali imeshindwa kusimamia utumishi wa umma hususani kwenye suala la maslahi.
Hii ni hujuma kwa kiongozi mkuu wa nchi, mwajiri mkuu aliyetoa ahadi na kwa chama cha mapinduzi pia. Hii haikubaliki hata kidogo. Basi wasingemdanganya kutoa ahadi hewa kwa kundi muhimu na lenye turufu katika siasa za Tanzania.
 
Hatimae hayawi hayawi yamekua, lile Jambo letu limekuwa sio Jambo letu Tena ,Bali kilio, Leo watumishi wa umma watalala mapema na viatu.
Hii Ni baada ya kuzania kikubwa Sasa limekuwa kiduchu, sensa wamepigwa na kitu KIZITO , na Sasa lile Jambo letu limewafletisha kabisa,
Sasa ndugu zangu watumishi msijali na Mimi ni mmoja wenu, mashauri tuwe Kama sirilanka , futa TUCTA ,FUTA CWT, FUTA UJINGA WOTE, FUTA CCM,
ILA KULE ZANZIBAR WAO WAMELAMBA ASARI HONGERA SANA .
ILA TUKUMBUKE KEKI INALIWA NA STAFF.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
nyie watumishi huwa hamueleweki, mwanzo mlikuwa mnalalamika kuwa muongezewe hata kidogo, leo Mama kaongeza mnaanza tena kulaumu, ooohh nyongeza ndogo!!!

mmesahau mlivyo henyeka awamu ya 5!!!

leo hii ndani ya mwaka mmoja Mama kawafanyia mambo kibao,
mmepandishwa madaraja/vyeo, nyongeza n.k.

Leo hii sisi tusio na ajira tunatamani sana, kama umechoka pisha sisi tuingie.

Ama kweli asiye shukuru kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru.

Watumishi punguzeni kudeka, mmezidi kudeka na hii ndio shida ya kudekezwa, hamkustahili kuongezwa mpaka baada ya miaka 10.
 
nyie watumishi huwa hamueleweki, mwanzo mlikuwa mnalalamika kuwa muongezewe hata kidogo, leo Mama kaongeza mnaanza tena kulaumu, ooohh nyongeza ndogo!!!

mmesahau mlivyo henyeka awamu ya 5!!!

leo hii ndani ya mwaka mmoja Mama kawafanyia mambo kibao,
mmepandishwa madaraja/vyeo, nyongeza n.k.

Leo hii sisi tusio na ajira tunatamani sana, kama umechoka pisha sisi tuingie.

Ama kweli asiye shukuru kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru.

Watumishi punguzeni kudeka, mmezidi kudeka na hii ndio shida ya kudekezwa, hamkustahili kuongezwa mpaka baada ya miaka 10.
Awamu wa 5 waliongeza 56100/- yaani mara nne na zaidi ya nyongeza za leo.
 
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?

Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote zile increment haizidi 20K!

Nadhani Sasa ni muda wa watumishi wa umma kujitambua na kuacha kushoboka na serikali. Serikali ime-inflate gharama za maisha kwa kiwango kikubwa but then haina efforts za kuboresha maslahi.

Maamuzi ya namna hii yanapunguza morali ya kazi na kushusha uadilifu. Tutegemee uzembe makazini na kuongezeka ubadhirifu.

Serikali imeshindwa kusimamia utumishi wa umma hususani kwenye suala la maslahi.
Huyu mama nadhan anashauriwa vibaya wapiga dili wamemzunguka Hana uwezo wa kujisimamia

Shame on them
 
Hatimae hayawi hayawi yamekua, lile Jambo letu limekuwa sio Jambo letu Tena ,Bali kilio, Leo watumishi wa umma watalala mapema na viatu.
Hii Ni baada ya kuzania kikubwa Sasa limekuwa kiduchu, sensa wamepigwa na kitu KIZITO , na Sasa lile Jambo letu limewafletisha kabisa,
Sasa ndugu zangu watumishi msijali na Mimi ni mmoja wenu, nashauri tuwe Kama sirilanka , futa TUCTA ,FUTA CWT, FUTA UJINGA WOTE, FUTA CCM,
ILA KULE ZANZIBAR WAO WAMELAMBA ASARI HONGERA SANA .
ILA TUKUMBUKE KEKI INALIWA NA STAFF.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ccm oyeee
 
Kama kura wanaiba mchana watashindwa kuwapiga zuga kuwa kuna nyongeza kubwa kumbe iko kiduchu?

Pia kwanini wakati imepandisha kusiwepo uwazi kwa viwango vipya na sio hadi mtu apate mshahara ndio ajue imeongezeka kiasi gani?
 
Back
Top Bottom