Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Kuna mtu aliponda watu wanajifanya wana kazi wanalilia ualimu

Kumbe na Watumishi wa Umma wanalilja 30,000

Komaeni nayo
 
Dah.. Bora niendelee kupiga forex tu!

Nikitengeneza $10 kila siku kwa mwezi nina kama kilo 6!

Watumishi poleni..

Bora Magu hakuongeza kabisa mshahara ila vitu havikuwa bei juu namna hii!

Sasa hiyo 20 inamsaidia nini mtu ambae garama za maisha zimepanda kwa kasi namna hii?
Piga forex usituchanganye sahv
 
Acheni kqzi tu sisi ambao hatujaajiriwa tunatamani basi hata izowalizo ongeza wangepunguza kwenye mshahara wazamani yaani mshara ndio upungue sio kuongeza natupo tayari kwa kazi nakuimba mama mama mama
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mkuu nimecheka sana ila hisia zako zinauma sana.

Imagine graduate wa 2015 hajaajiriwa hadi sasa, tena degree holder akiomba hata kufundisha shule ya msingi anatemwa
 
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?

Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote zile increment haizidi 20K!

Nadhani Sasa ni muda wa watumishi wa umma kujitambua na kuacha kushoboka na serikali. Serikali ime-inflate gharama za maisha kwa kiwango kikubwa but then haina efforts za kuboresha maslahi.

Maamuzi ya namna hii yanapunguza morali ya kazi na kushusha uadilifu. Tutegemee uzembe makazini na kuongezeka ubadhirifu.

Serikali imeshindwa kusimamia utumishi wa umma hususani kwenye suala la maslahi.
 
Attachments

  • 1658517280430.png
    1658517280430.png
    75.5 KB · Views: 10
Mwanasiasa sio mtu aisee! Poleni sana ndugu zangu.😀😀😀

Najiuliza hivi ilikuwaje JK aliweza kupandisha mishahara kiasi kikubwa vile kipindi chake na hawa wanashindwa wapi? Au ni dharau tu hamna cha kumfanya?
Ulikuwepo? Ilipandishwa kiasi gan?
 
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?

Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote zile increment haizidi 20K!

Nadhani Sasa ni muda wa watumishi wa umma kujitambua na kuacha kushoboka na serikali. Serikali ime-inflate gharama za maisha kwa kiwango kikubwa but then haina efforts za kuboresha maslahi.

Maamuzi ya namna hii yanapunguza morali ya kazi na kushusha uadilifu. Tutegemee uzembe makazini na kuongezeka ubadhirifu.

Serikali imeshindwa kusimamia utumishi wa umma hususani kwenye suala la maslahi.
1658517699637.png
 
Back
Top Bottom