Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

kama maslahi madogo mbona huachi kazi ukajiajiri?

wacha kulia lia,Kama maslahi madogo waachie wengine.
Coment yako niya mtu mshamba. Mtu kusema jambo fulani haridhiki nalo ndio lazima aachane nalo?..kwani wewe ni mambo yote unaridhika nayo hapa duniani na umeyaacha?.
 
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?

Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote zile increment haizidi 20K!

Nadhani Sasa ni muda wa watumishi wa umma kujitambua na kuacha kushoboka na serikali. Serikali ime-inflate gharama za maisha kwa kiwango kikubwa but then haina efforts za kuboresha maslahi.

Maamuzi ya namna hii yanapunguza morali ya kazi na kushusha uadilifu. Tutegemee uzembe makazini na kuongezeka ubadhirifu.

Serikali imeshindwa kusimamia utumishi wa umma hususani kwenye suala la maslahi.
Kolichoongezwa hakitoshi hata kufidia ongezeko la nauli ya daladala kwa mwezi mzima kwa mfanyakazi bado hicho kidogo kilichoongezwa kinachukuliwa kupitia kodi ya ATM, hivyo ongezeko halisi kwa, nfanyakqzi baada ya kodi ya ATM tu ni kama sh. elfu nne. Hapo hujapiga hesabu ongezeko la nauli ya daladala ambalo halitoshi kufidiwa. Kiuhalisia anachopata mfanyajazi mwezi wa July 22 ni kidogo kuliko alichopata mwezi Januari 22.

Halafu mtu anakubali kuwa mwanachama wa chama cha wafanyakazi!
 
Nasikia huko mtaani mlikopa mkijitapa kua pesa ndefu inaingia mkisindikiza na "mama anaupiga mwingi"
 
Muwe na shukrani Kwa hata kidogo kwani si ilitangazwa na Kwa kima Cha chini au hamkuelewa?
 
Mwanasiasa sio mtu aisee! Poleni sana ndugu zangu.😀😀😀

Najiuliza hivi ilikuwaje JK aliweza kupandisha mishahara kiasi kikubwa vile kipindi chake na hawa wanashindwa wapi? Au ni dharau tu hamna cha kumfanya?
 
[emoji4]
IMG-20220722-WA0084.jpg
 
Bora huyo Me nimeongezwa elf 9000, ujinga mtupu,nieli ya magufuri mala 100, Maana kwa Magufuri mfumuko wa bei ulizibitiwa, Sasahivi majanga matupu huu ni upuuzi,Samia katuzalau wafanyakazi
Wewe huwezi kuwa Mtumishi, nakataa huwezi kuwa.

Elfu 9000, ni sawa na 9,000,000 ni kweli umeongezewa hiyo pesa.?
 
Daah hadi huruma.

Fanya biashara mkuu, achana na mambo ya kulilia vielfu ishirini.
Mkuu Mimi Ni mfanyabiasharw,na miliki steshenari yangu,nasasa nimetoka huko,Mimi sio mtu wa kulia lia na kutuhumu,nashukuru kwa nyongeza aliyotuwekea mama
 
Back
Top Bottom