Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Mpaka siku mjitambue wapuuzi nyie
 
Hiyo ilifanyika kwa fedha za mikopo. Naona ulidanganywa na marehemu na ukadanganyika.
 
Mtu unaongezewa mshahara sh 36,000 halafu zote zinarudi serikalini kupitia tozo za miamala ya benki na kwenye simu
 
Si ya kucheka haya walai!! Halafu mimi bado sijaona hata kwa komenti hizi ngachoka[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji119][emoji119]
E naskia 30k plus,
Wengine f na kuendelea majanga matupu...hakuna lolote
 
Nyieeeeeeeee mwanasiasa mtu mbad jamaniiiii [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!!
Enhee vishaumanaa tayariii[emoji16][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ili mtu atawalie mfanye akutegemee kwa namna yyte Ile. Watu watawalike na waliwe Kama Simba n.k anavyo impose fear kwa prey wanakosa judgement nzuri wanaliwa. Sasa wewe unakataa kuliwa wao Simba watakula wapi.
Watu wananunua apartments zao huko Sydney, Barcelona Paris, Milano,Rome,, Bahama,new York, London, Liverpool na Geneva wewe unajiliza jamani. Inatakiwa usimame tayari upo down kwa Ile food chains.

Nawambieni tofauti ya binadamu na wanyama Ni ndogo. Wote Ni wachoyo wanauana wanakulana sema dini inakuambia ufanye vitu ambavyo Ni against na nature biologically like don't make your dikisoni hard in front of nice chick. Is it possible jamani kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…