Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

Punguza kamdomo mtoa mada , wapi mh Mwenyeki lissu amesema iyo nafasi moja inaachwa kwa ajili ya mtu toka ccm?

Amesema anaacha nafasi moja kwamba yawezekanika mtu yeyote anaweza pata ajali ya kisiasa katika vyama na akaja may be Chadema , wakakosa nafasi ya kumsetiri , hakuna sehema kataja Ccm .

Kamdomo ,kamdomo ,kamdomo ,kazuie
 
Mwenzetu kama vile unaota au vipi
 
Wale walioburuzwa kule Dodoma ndiyo wanastahili kuitwa nyumbu, yaani na majitu ya hovyo kabisa ambayo kwao maslahi ya nchi siyo muhimu kuliko matumbo yao.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Alivyo mpumbavu hata haoni hilo......amekomaa kuzusha huu upuuzi wake akidhani unaksaidia. Yaani ccm ihangaishwe na lissu kweli?!!!!!!!! Wapumbavu kweli nyie.
Utajuaje hali halisi nawe akili zimechanganyika na haja kubwa? Watu wanaumiza vichwa huko kufanya damage control wewe unakenua huku.
 
nyenzo za kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ziendelee kubaki salama ndani ya magari ya polisi 19 yaliyozingira eneo hilo wakiwa na silaha kali.
 
CCM TUNA IMANI NA ABDUL BISIMUNGU MUHOOZI mtoto mtukufu wa Rais alisha sema atamchinjwa BOBI WINE kwa kukataa rushwa yao na wenje
 
Hii bila MAFEKECHE isingefika, huu ndo ukweli Mungu, sema tu uchaguzi umeisha ni mda tujenge chama
Wamejitahidi sana Mafekeche lakini wapi.

Hapa ndio Waswahili wa Gongolamboto Wanakwambia Pesa sio kila kitu kwenye maisha.
 
51% vs 49% Maana yake Chadema imepasuka Msambani yaani katikati 🐼
Kuna wajumbe, kuna wanachama, kuna wananchi. Wajumbe walipiga kura walikuwa 996+, lakini kama ulikuwa makini na hauko biased na uko honest na ulisikia maoni ya wananchi kabla ya uchaguzi wao, hata baada ya uchaguzi uliona uungwaji mkono wa Lissu na mabadiliko, na chama cha siasa ni wananchi, na ukiwa na hiyo backup na ukaaminiwa hujapoteza kitu.

So chadema kama chama kipo imara, wajumbe wa 49% itabidi waende na maoni ya wananchi.
 


Uchaguzi wa chadema ungefanyika mwez wa sita and after one month kampen zikaanza

Aaah wangepata viti vingi Sana vya ubunge

Kila mtu angetamani hayo mabadiliko
 
49% yote ni nguvu ya Mafekeche na dola juu
 
49% yote ni nguvu ya Mafekeche na dola juu
Wanajijua, na wengi waliingia hofu kwa kuamini kwamba Lissu hawezi toboa, ikabidi wajibanze na Mwamba, hawaamini kilichotokea, wamebaki na majuto na aibu. Na ukweli Lissu angeshindwa wangemnyosha vikali.
 
Akili mgando hizi. Hiyo dhana ilitengenezwa mahsusi ili kukidhi matakwa yake tu,haiwezekani chama chenye wanachama zaidi ya milioni 5 kishindwe kujiendesha,ni mipango tu.
Jifunze utu kwanza.
Watu walio wengi hawataki kuchangia maendeleo yao achia mbali kuchangia chama cha siasa.
Kitu gani kitawafanya vibonde wako wazaliwe upya kuchangia kule wasipovuna mfululizo bila kuchoka?
Chama kujitegemea sio kuvaa magwanda ya Savimbi.
Chadema inaenda kuwa Titanic in no time,unless mnajifunza abc ya kuitwa chama cha siasa kipinzani.
 
CHADEMA (Team Lisu na Heche) imeweka viwango vya ulindaji kura.

Goli la mkono safari hii naona litakuwa gumu sana
Matokeo itabidi yatangazwe hapo hapo walipo pigia kura na wananchi sasa watafuata mfano wa chadema kuzuia huu wizi wa kura wa kila uchaguzi, atakaye fanya vinginevyo ndiye atakaye leta fujo zisizo za msingi.

Kila chama sasa kiwe na kituo chake cha kujumuisha kura, kazi ya tume iwe ni kuli-concile tu matokea kama yalivyo tangwazwa kutoka kituko kimoja hadi kingine kwa mujibu wa tallying centres za vyama na jinsi vituo vilivyo record.
 
Numbers ni hesabu nzuri,Chadema inataka healings ya nguvu,watambue hilo kwanza otherwise wafokaji wanaonjiona wameshinda kumbe wamegawana fito.
Kuna tofauti ya no ya kura za wajumbe na no ya kukubalika na wananchi ....samia ana asilimia 8% tu ya watanganyika wapumbavu wanao mkubali asilimia 92% awamtaki hata kumsikia ila kwenye no za kura za wajumbe wa ccm kapata asilimia 100% ... tumia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…